Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huwezi kumega mkoa kwa kuangalia ukubwa tu, tuangalie na idadi ya watu pia. Kwa mfano mkoa kama Tabora ni mapori tu. Mikoa ya kanda ya ziwa imekuwa na ongezeko kubwa la watu mfano mkoa wa Kagera ni halali kuupunguzia mzigo maana ni wa tatu kwa idadi ya watu Tanzania nyuma ya Dar na MwanzaWewe unaona kuna vigezo vya kuimega Geita iliyotoka Mkoa wa Mwanza juzi tu? Hivi mikoa mikubwa na yenye vigezo vya kugawanywa haipo? Lengo la kuifanya Chato iwe mkoa kwa kumegamega vipande vya kutoka Kigoma, Geita na Kagera ni nini hasa? Au kwa sababu hili vuguvugu lilianza kipindi cha mwenye Chato yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wenyewe kakonko wamesema hawataki kutenganishwa na ndugu zao?? Au ni mawazo yako??? Mbona kuna uzi humu wakiomba mkoa wa nyakanazi kwa sababu kwenda Kigoma mjini ni mbali sana??Mimi ningewashauri waombe Chato iwe halmashauri ya mji mdogo wa Chato badala ya kumega mkoa wa Kigoma. Ikumbukwe kuwa Kakonko ni Buyungu na haiingii akilini kuitenganisha na pacha wake Kibondo Muhambwe ambao kimila na kitamaduni havitangamani. Mkoa wa Chato wa nini wakati mkoa wa Geita uliishaundwa? Au kuna mashindano ya kimila?
Hakuna muda wa kufanya mambo ya kitotoMmpeleka mapendekezo serikalini enyi watu wafupi mkakataliwa ?
Hivi mbona mnaisena geita tu wakati inamegwa mikoa mitatu?? Hivi population ya Lindi ukiitenga si utaunda mkoa wa mapori tu??1. Morogoro
2. Pwani
3. Tabora
4. Lindi hii ni ya kukata kwanza kabla ya Geita iyo changa na ndogo
Well said!!!! Mtu anakuja na akili zake eti mbona Lindi ni kubwa hawajaitenga huku akijua eneo kubwa ni poriMkoa hautengwi kwa kutazama ukubwa ma ardhi. Ingekua ukubwa wa ardhi Dar Es Salaam ingejua wilaya tu.
Hii imekaa poa sana. Pana mikoa ambayo makao makuu yake ni tofauti kwa jina; mfano Mara ( Musoma ), Kilimanjaro ( Moshi ), Pwani ( Kibaha ) na kadharika.Labda angefanya ushawishi makao makuu ya mkoa wa Geita yawe Chato. JPM alikuwa na mazuri pamoja na mabaya yake baba yetu. RIP Mr. president.
Chukua pepsi baridi nalipa" The United States of America (U.S.A. or USA), commonly known as the United States (U.S. or US) or America, is a country primarily located in North America. It consists of 50 states, a federal district, five major unincorporated territories, 326 Indian reservations, and some minor possessions.[g] At 3.8 million square miles (9.8 million square kilometers), it is the world's third- or fourth-largest country by total area.[c] With a population of more than 331 million people, it is the third most populous country in the world. The national capital is Washington, D.C., and the most populous city is New York City".
Nimekuwa najifikiria sana tena sana ukubwa wa USA na nchi yetu nani zaidi? Sijasikia USA wakianzisha majimbo kwa kumega jimbo jengine kwa kigezo cha kusogeza maendeleo, sie hatulali kwa kufikiria kubuni mikoa. AIBU tupu.
Hawabuni mikoa wanabuni ulaji" The United States of America (U.S.A. or USA), commonly known as the United States (U.S. or US) or America, is a country primarily located in North America. It consists of 50 states, a federal district, five major unincorporated territories, 326 Indian reservations, and some minor possessions.[g] At 3.8 million square miles (9.8 million square kilometers), it is the world's third- or fourth-largest country by total area.[c] With a population of more than 331 million people, it is the third most populous country in the world. The national capital is Washington, D.C., and the most populous city is New York City".
Nimekuwa najifikiria sana tena sana ukubwa wa USA na nchi yetu nani zaidi? Sijasikia USA wakianzisha majimbo kwa kumega jimbo jengine kwa kigezo cha kusogeza maendeleo, sie hatulali kwa kufikiria kubuni mikoa. AIBU tupu.
Ingefaa sana mkuu, alafu baada ya kuwa makao makuu ya mkoa wa Geita kwa miaka labda 25, sasa baade ndio anaomba sasa Chato kuwa mkoa kamili kwa maana unakuwa umechangamka kibiashara.Hii imekaa poa sana. Pana mikoa ambayo makao makuu yake ni tofauti kwa jina; mfano Mara ( Musoma ), Kilimanjaro ( Moshi ), Pwani ( Kibaha ) na kadharika.
Wamekufa akina Magufuli wakiokuwa na ulinzi wa mitambo ya kisasa, mabunduki, helicopter na madaktari wote, itakuwa ya sisi?Mtakufa kwa vijiba moyo