Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakonko watakuwa wamesaidiwa sana, maana kutoka Kakonko mpaka Kigoma ni karibu kilometa 400. Aidha serikali haigawi mikoa kwa kigezo cha ukabila, hiyo ni hoja nyepesi sana. Katika karne hii bado unawaza ukabila ? Pole sana.Andiko zuri sana.
Kama hawatakusikiliza basi waache lakini kiburi kitawaumbua kama kinavyowaumbua kwa kuanzisha mikoa waliyokurupuka.
Wakati wanataka kuanzisha mkoa wa Katavi walipendekeza Wilaya ya Kaliua iende mkoa wa Katavi, Mungu mwema wale Wanyamwezi waligoma katakata na wengi tuliwasapoti. Kutoka Kaliua hadi Mpanda hakuna barabara ya moja kwa moja kuna reli tu. Ukiwa na gari mpaka urudi Tabora/Sikonge then Mpanda. Lakini pia wakasema wanaenzi utamaduni na asili yao inayowanasibisha na Mtemi Mirambo. Leo unawachukua Waha wa Kakonko na kuwafurusha kwenda Chato? Wakikubali nitajua Mha kabadilika.
Bora hata wangeanzisha mkoa wa Kahama, au wangeigawa Morogoro mara mbili maana ukubwa wake unatisha.
Pwani ni kubwa sana hiyo ndio iliktakiwa kugawanywa. Wanaenda kuunda mkoa ambao hata wilaya hazijitoshelezi wanaziomba mikoa mingine. Huu ni ujinga n upuuzi.
Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
Kwani wenyewe kakonko wamesema hawataki kutenganishwa na ndugu zao?? Au ni mawazo yako??? Mbona kuna uzi humu wakiomba mkoa wa nyakanazi kwa sababu kwenda Kigoma mjini ni mbali sana??
Hakuna muda wa kufanya mambo ya kitoto
Chato iliandaliwa iwe Mkoa na ndio maana wakaweka kila kitu ili iwe na hadhi ya Mkoa
Ila kama tutaendelea hivi tutajikuta kila Rais ataamua anavyotaka
Bora majimbo machache na kila jimbo kujitegemea kwa uzalishaji wake na maendeleo pia
Mmmhmm kwani ulikua na upungufuChato itabakia kuwa Gbadolite ya Tanzania. Mungu hakupenda ujinga na UPUMBAVU wa Mwendazake kuchukua raslimali za nchi na kwenda kuzirundika kijijini kwake Chato.
Ndiyo maana akamdedisha. Magufuli alikuwa IBILISI. Ni misukule yake tu ndiyo imebaki inamuita shujaa wa Afrika. Labda wa Afrika Sana pale Corner bar alipopatia UKIMWI
Mikoa mingi mtakufa na njaa kwa utawala huo wa majimbo mnaoutaka maana hata Rasilimali hakuna.
Hiyo ni hoja nyepesi sanaMimi ningewashauri waombe Chato iwe halmashauri ya mji mdogo wa Chato badala ya kumega mkoa wa Kigoma. Ikumbukwe kuwa Kakonko ni Buyungu na haiingii akilini kuitenganisha na pacha wake Kibondo Muhambwe ambao kimila na kitamaduni havitangamani. Mkoa wa Chato wa nini wakati mkoa wa Geita uliishaundwa? Au kuna mashindano ya kimila?
Sasa kwanini tusianze kuugawa Dar kwanza kama sababu ni idadi ya watu.Mkuu huwezi kumega mkoa kwa kuangalia ukubwa tu, tuangalie na idadi ya watu pia. Kwa mfano mkoa kama Tabora ni mapori tu. Mikoa ya kanda ya ziwa imekuwa na ongezeko kubwa la watu mfano mkoa wa Kagera ni halali kuupunguzia mzigo maana ni wa tatu kwa idadi ya watu Tanzania nyuma ya Dar na Mwanza
Aisee...Chato itabakia kuwa Gbadolite ya Tanzania. Mungu hakupenda ujinga na UPUMBAVU wa Mwendazake kuchukua raslimali za nchi na kwenda kuzirundika kijijini kwake Chato.
Ndiyo maana akamdedisha. Magufuli alikuwa IBILISI. Ni misukule yake tu ndiyo imebaki inamuita shujaa wa Afrika. Labda wa Afrika Sana pale Corner bar alipopatia UKIMWI
Fafanua!!.. ni kwa nini unafikiri hoja yangu ni nyepesi ... ningependa kusikia uzito wa hoja yako, kama unayo.Hiyo ni hoja nyepesi sana
Ndo maana nasema hawaangalii factor moja, mkoa kama Kagera una watu wengi ila bado ni mkubwa pamoja jiografia yake imekaa vibaya. Sasa ukisema utenge Dar au Kilimanjaro haiwezekani hukoSasa kwanini tusianze kuugawa Dar kwanza kama sababu ni idadi ya watu.
Kutoka Kakonko(wilaya mpya) hadi Kigoma ni kilomita 284.2 wakati kutoka Kibondo(wilaya kongwe) kwenda Kigoma ni kilomita 238.0 Kuna tofauti ya kilomita 46.2 kati ya Kakonko na Kibondo zikihudumiwa kutoka mkoa wa kigoma. Suruhisho ili kuunda mkoa wa Chato ni kumega huko huko Geita bila kuingilia mkoa wa Kigoma. Kama Kakonko na Kibondo wakiamua kwenye RCC Yao, suruhisho ni kuunganisha Ngara na nyakanazi kufanya mkoa mpya wa Nyakanazi au Kibondo.....Siyo hii habari ya mkoa wa Chato.Kakonko watakuwa wamesaidiwa sana, maana kutoka Kakonko mpaka Kigoma ni karibu kilometa 400. Aidha serikali haigawi mikoa kwa kigezo cha ukabila, hiyo ni hoja nyepesi sana. Katika karne hii bado unawaza ukabila ? Pole sana.
Ungebalance hoja yako kwa kuweka na umbali wa kakonko hadi chato ili tuone ni wapi kunafikika haraka bila kusahau na miundombinu rafiki ya kufikaKutoka Kakonko(wilaya mpya) hadi Kigoma ni kilomita 284.2 wakati kutoka Kibondo(wilaya kongwe) kwenda Kigoma ni kilomita 238.0 Kuna tofauti ya kilomita 46.2 kati ya Kakonko na Kibondo zikihudumiwa kutoka mkoa wa kigoma. Suruhisho ili kuunda mkoa wa Chato ni kumega huko huko Geita bila kuingilia mkoa wa Kigoma. Kama Kakonko na Kibondo wakiamua kwenye RCC Yao, suruhisho ni kuunganisha Ngara na nyakanazi kufanya mkoa mpya wa Nyakanazi au Kibondo.....Siyo hii habari ya mkoa wa Chato.
Mbona umeng'ang'ania Chato wakati Nyakanazi ndio suruhisho la hao watu wa Kakonko jomba?.Ungebalance hoja yako kwa kuweka na umbali wa kakonko hadi chato ili tuone ni wapi kunafikika haraka bila kusahau na miundombinu rafiki ya kufika
Binafsi na mimi sipendezwi na makao ya mkoa kuwa chato, nyakanazi ndo pazuri kabisa lakini kama imetokea pakawa chato waache kakonko wajumuishwe maana ni afadhali kuliko kwenda KigomaMbona umeng'ang'ania Chato wakati Nyakanazi ndio suruhisho la hao watu wa Kakonko jomba?.