Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu China kutoingilia kati pale mataifa ambayo yamekuwa na uhusiano wa karibu na China yanapovamiwa.
Wengine wamefikia hatua ya kusema China ni waoga na sio wa kuwaamini.
Gumzo lilianza Marekani na washirika wake walipovamia Syria na Iran na sasa Venezuela.
Basi swali ni kwa nini China imekuwa ikikemea tu lakini bila kudeploy boots on the ground kutoa military assistance?
Lazima ikumbukwe mataifa hayaendeshwi kama vikundi vya kikoba na kwa mihemko. Kuna mikataba inayoitwa mutual defense pact.
Ambapo mataifa 2 au zaidi yanakubaliana kupeana msaada wa kijeshi endapo mojawapo litavamiwa.
China imeingia mkataba huo officially na taifa moja tu duniani, nalo ni North Korea kwa kiduku.
Siku taifa lolote likithubutu kuigusa North Korea hapo sasa China ina kila sababu kurejea mkataba wa 1961 wa mutual assistance.
Ndio maana hautasikia hata siku moja Marekani ikapanga kuivamia North Korea pamoja na taifa hilo kutengeneza silaha za nyuklia na kufanya majaribio ya ICBM tena wakati fulani karibu na mipaka ya washirika wa Marekani yaani South Korea na Japan.
Hii ni tofauti na Iran ambayo kila ikijaribu kuunda nyuklia lazima inyanyaswe.
Ilikuwaje China ikaingia mkataba na North Korea? Ilikuwa mwaka 1961 baada ya kuisha Vita vya Korea, vita hii iliisha kwa Marekani kudhibitiwa na vikosi vya China na North Korea katika eneo hilo.
Mwishoni mwa vita hiyo ndipo China na DPRK zikatia wino mutual defense treaty. Kila baada ya 10 China na N.K huwa wana-renew mkataba huo.