China inanunua mafuta kutoka Russia, Iran na Venezuela mataifa ambayo yamezuiwa na Marekani na washirika wake kuuza mafuta
Inapigana vita vya uchumi na teknolojia na Marekani
Inaiuzia Russia military hardware kuitwanga Ukraine
Imezuia social media za Marekani nchini China
Imepiga marufuku bidhaa za teknolojia kutoka Marekani kama NVIDIA chips
Imezuia ununuaji wa Boeing, LNG n.k kutoka Marekani
Unafikiri kwa nini China iko na confidence kutokuwa upande wa Marekani?
Unachanganya kitu kimoja U.S wako mbele sana kwa China, ila ni state ambayo ina bureaucracy nyingi hasa upande wa sheria katika almost kila kitu iwe technology mpaka chakula na hata mavi yaende wapi. hizo nchi nyingine ni za washenzi tu wanataka kuwahi mbio za uongozi.
Kama leo inatokea vita za kishenzi hakuna sheria watwangane U.S na washirika wake na China na washirika wake, mapema tu kina Xintong wanalamba vumbi.
Dunia salama kama kuna ulazima wa kuwa na most superior super power, zingatia kama kuna ulazima, basi ni Marekani( nalisema hili kwa uchungu, nilikuwa nawachukia hawa jamaa). Lakini kwa ninachoona kwa hawa majamaa wengine hata haki za binadamu katika nchi zao ni issue.
Iran awe super power tuanze kulazimishana dini ambazo sio zetu,kutengwa tengwa na kulipishwa jizya. China awe super power kabisa ndio kiongozi wetu, tungeishi kama mbuzi na mmiliki wa mbuzi, fata unachoambiwa tu usikosoe.
Marekani aendelee tu, warudi katika New World Oder UN i renew ikataba tuboreshe standards tu na kiranja aendelee huyu huyu.
Hata Tanzania tumeanza kuwa kama hiyo mitaifa ya itikadi za kustaajabisha; mfano kama ni tatizo la bei ya nyama, unatakiwa uongelee tu bei ya nyama imepanda sana mabuchani,ukizidi sana uwaponde wafugaji na wauza nyama UISHIE hapo, ukianza tu kusema SERIKALI inakwama ku control mfumuko wa bei kwa sera zao mbovu unakuwa ADUI. HAWA WA HIVI NDIO WAKINA RUSSIA,IRAN,SAUDIA,CHINA n.k