Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
the most secretive communist regime on earth wanakuamini wewe hadi wakwambie siri zao? wewe ni politburo wa ccp, au? interesting …
Sio CCP ni CPCthe most secretive communist regime on earth wanakuamini wewe hadi wakwambie siri zao? wewe ni politburo wa ccp, au? interesting …
Semaji la Guangzhou hilo.Toshie shifuu!🫸🫷😛😛😛😛Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu China kutoingilia kati pale mataifa ambayo yamekuwa na uhusiano wa karibu na China yanapovamiwa.
Wengine wamefikia hatua ya kusema China ni waoga na sio wa kuwaamini.
Gumzo lilianza Marekani na washirika wake walipovamia Syria na Iran na sasa Venezuela.
Basi swali ni kwa nini China imekuwa ikikemea tu lakini bila kudeploy boots on the ground kutoa military assistance?
Lazima ikumbukwe mataifa hayaendeshwi kama vikundi vya kikoba na kwa mihemko. Kuna mikataba inayoitwa mutual defense pact.
Ambapo mataifa 2 yanakubaliana kupeana msaada wa kijeshi endapo mojawapo litavamiwa.
China imeingia mkataba huo officially na taifa moja tu duniani, nalo ni North Korea kwa kiduku.
Siku taifa lolote likithubutu kuigusa North Korea hapo sasa China ina kila sababu kurejea mkataba wa 1961 wa mutual assistance.
Ndio maana hautasikia hata siku moja Marekani ikapanga kuivamia North Korea pamoja na taifa hilo kutengeneza silaha za nyuklia na kuzifanyia majaribio tena wakati fulani karibu na mipaka ya washirika wa Marekani yaani South Korea na Japan.
Hii ni tofauti na Iran ambayo kila ikijaribu kuunda nyuklia lazima inyanyaswe.
Ilikuwaje China ikaingia mkataba na North Korea? Ilikuwa mwaka 1961 baada ya kuisha Vita vya Korea, vita hii iliisha kwa Marekani kudhibitiwa na vikosi vya China na North Korea katika eneo hilo.
Mwishoni mwa vita hiyo ndipo China na DPRK zikatia wino mutual defense treaty.
Hao wote hawakuwa na mutual defense treaty na ChinaHao wavimba macho ni waoga sana hawana lolote, ole wako uwategemee yatakupata yaleyale ya akina Maduro, Saddam, Gaddafi, Noriega na Bashar.
Ukweli lazima usemwe na sio upotoshajiSemaji la Guangzhou hilo.Toshie shifuu!🫸🫷😛😛😛😛
It's all about mutual defense pactKwenye hii dunia hakikisha haupo upande mbaya wa USA. Wakitaka chako kinaliwa. Hao Russia, China na Iran ni genge la wahuni hawana msaada wowote kikiumana wanaishia kutoa matamko tu kama serikali ya chura kiziwi. USA baby 🇺🇸
China inanunua mafuta kutoka Russia, Iran na Venezuela mataifa ambayo yamezuiwa na Marekani na washirika wake kuuza mafutaKwenye hii dunia hakikisha haupo upande mbaya wa USA
China inanunua mafuta kutoka Russia, Iran na Venezuela.
China wana kampuni zao za kuchimba mafuta VenezuelaSasa itanunua toka USA. Hao ni genge la wahuni la kutoa matamko tu.
Shida ni kuwa, kabla ya vita kuanza, China huwahadaa kama vile hawawezi guswa na yoyote. Vita ikianza tu, hata simu hawapokei.Ukweli lazima usemwe na sio upotoshaji
Taja taifa ambalo China walilihadaa?Shida ni kuwa, kabla ya vita kuanza, China huwahadaa kama vile hawawezi guswa na yoyote. Vita ikianza tu, hata simu hawapokei.
Kwenye hii vita ya Iran, ni wazi silaha za Urusi na China zime
We jamaa umesababisha nicheke kwa sauti...Sio CCP ni CPC
Mchina wa Yombo Vituka.Taja taifa ambalo China walilihadaa?