Kwanini China haiingilii kati kusaidia mataifa mengine yanapovamiwa na nchi za Magharibi?

China inajali zaidi maslahi yake mengine hayawahusu.
 
Unachanganya kitu kimoja U.S wako mbele sana kwa China, ila ni state ambayo ina bureaucracy nyingi hasa upande wa sheria katika almost kila kitu iwe technology mpaka chakula na hata mavi yaende wapi. hizo nchi nyingine ni za washenzi tu wanataka kuwahi mbio za uongozi.

Kama leo inatokea vita za kishenzi hakuna sheria watwangane U.S na washirika wake na China na washirika wake, mapema tu kina Xintong wanalamba vumbi.

Dunia salama kama kuna ulazima wa kuwa na most superior super power, zingatia kama kuna ulazima, basi ni Marekani( nalisema hili kwa uchungu, nilikuwa nawachukia hawa jamaa). Lakini kwa ninachoona kwa hawa majamaa wengine hata haki za binadamu katika nchi zao ni issue.

Iran awe super power tuanze kulazimishana dini ambazo sio zetu,kutengwa tengwa na kulipishwa jizya. China awe super power kabisa ndio kiongozi wetu, tungeishi kama mbuzi na mmiliki wa mbuzi, fata unachoambiwa tu usikosoe.

Marekani aendelee tu, warudi katika New World Oder UN i renew ikataba tuboreshe standards tu na kiranja aendelee huyu huyu.

Hata Tanzania tumeanza kuwa kama hiyo mitaifa ya itikadi za kustaajabisha; mfano kama ni tatizo la bei ya nyama, unatakiwa uongelee tu bei ya nyama imepanda sana mabuchani,ukizidi sana uwaponde wafugaji na wauza nyama UISHIE hapo, ukianza tu kusema SERIKALI inakwama ku control mfumuko wa bei kwa sera zao mbovu unakuwa ADUI. HAWA WA HIVI NDIO WAKINA RUSSIA,IRAN,SAUDIA,CHINA n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…