..had no slave tradeHili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?
Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
Na watu wengi wanaopanga mambo ya safari za nje wamekomalia sana nchi za marekani na ulaya ila ni nadra sana kumkuta mtu anapambana kwenda nchi za mashariki ya mbali.Sii marekani peke yake hata ulaya ni mara nyingi unakutana na raia wa African race ila sio huko
🤔🤔🤔🤔Bora uchina wao hawakuchukua watumwa kutoka Afrika.
Wewe jiulize kwanini Uarabuni hakuna waarabu weusi japo walichukua waafrika.wengi utumwani.
DuuuuuhNchi za Asia, mashariki ya kati hata na Ulaya mashariki ni wabaguzi sana wanawaona watu weusi kama nyani tu nafuu hata wa Ulaya magharibi na Marekani kwa kiasi fulani wanatustahi watu weusi.
Kuna kitu hapa naona wengi hawaelewi, wakati wa biashara haramu ya utumwa watu weusi walipelekwa utumwani hadi China lkn wasingeweza kuzaana kwa sababu waarabu waliokuwa wakiwachuuza waliwahasi watumwa wote wa kiume kabla ya kuwasafirisha utumwani.
Katika miaka 40 iliyopita uliwahi kuona mchina kwenye uongozi wa africa? Mzungu je?Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?
Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
Kwahiyo??Umewahi fika China? Binafsi nina marafiki kibao wa kichina.
Sorry mkuu hivi kwa hapa Afrika China ipo nchi gani?Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?
Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
UgandaSorry mkuu hivi kwa hapa Afrika China ipo nchi gani?
Umemaliza kila kitu mkuu. Hasa hiyo point namba 3.Sababuu kuu nchi za ki asia kuto kuwa waafrica au wazungu wengi ni hizi
1. Population
Hizi nchi toka dunia iumbwe zina watu wengi zina high birthrate sababu hii inafanya wasitake wafanyakazi yaani cheap labor kutoka africa maaana nao wana cheap labor hasa china watu 1.3 billion unahisi watahitaji watu kutoka africa
2. Akili IQ na ustaarabu
Hizo nchi hasa china japan korea kusini singapore huwa wana ustaarabu na akili mno ustaraabu na maanisha mfumo wa maisha hawana kona kona pia ni magenius kichwani iq zao ni kubwa mno kukaa na wajinga hadi wazungu ki iq wamazidiwa na hawa watu .... mara nyingi mtu mwenye akili sana hapendi kukaaa na mpumbavu sasa waafrica wengi wapumbavu na konana kona nyingi na uvivu...
3.MAJANGA YA AFRICA WALIPOFIKA HUKO MIAKA YA SIKU HIZI
baadhi ya wa africa hasa china inawapokea vizuri na kuwajali kabisa hasa guanzhou ni sehemu china ambayo next ina waafrica wengi na miaka ijayo kutakuwa na wachina wa kiafrica wengi na guanzhou bila africa sio guanzhou maana biashara ya jiji lile inategemea waafrica
Basi baadhi ya wafrica pale hasa wana nigeria wanauza madawa ya kulevya mara wizi mara kesi kupigana mara sijui utapeli kwenye atm ..... mara kuwafundisha wachina wezi utapeli hivyo baadhi ya wachina wanaanza kuwa chukia waafrica wote kwa ujumla ...inshort wana nigeria ndo mara nyingi sehemu yeyote wanaharibu taswira yetu waafrica maana lazima tu wataharisha tu
NotedSorry mkuu hivi kwa hapa Afrika China ipo nchi gani?
Dubai na Oman wamejaa tele Waarabu weusi tena weusi tii kama wa Kigoma.Bora uchina wao hawakuchukua watumwa kutoka Afrika.
Wewe jiulize kwanini Uarabuni hakuna waarabu weusi japo walichukua waafrika.wengi utumwani.
Bora uchina wao hawakuchukua watumwa kutoka Afrika.
Wewe jiulize kwanini Uarabuni hakuna waarabu weusi japo walichukua waafrika.wengi utumwani.
Dubai na Oman wamejaa tele Waarabu weusi tena weusi tii kama wa Kigoma.
😆Brother ungetaja hata wasukuma basi. Kwani lazima uwataje waha?
Wachina walishakataa kuishi na NyaniHili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?
Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
Popote walipo watu weusi katika Dunia hii ni kero tupu.Nchi za Asia, mashariki ya kati hata na Ulaya mashariki ni wabaguzi sana wanawaona watu weusi kama nyani tu nafuu hata wa Ulaya magharibi na Marekani kwa kiasi fulani wanatustahi watu weusi.
Kuna kitu hapa naona wengi hawaelewi, wakati wa biashara haramu ya utumwa watu weusi walipelekwa utumwani hadi China lkn wasingeweza kuzaana kwa sababu waarabu waliokuwa wakiwachuuza waliwahasi watumwa wote wa kiume kabla ya kuwasafirisha utumwani.
Eeeh, eeeh, eeeh, sawaPopote walipo watu weusi katika Dunia hii ni kero tupu.
Wana imani za kipumbavu za kishirikina, Wanauana, wanafitiniana, hawapendani, ni Wachafu na hawawezi kutumia vizuri akili zao au uwezo wa kufikiri katika maendeleo...mbaya zaidi hawawezi hata kujiongoza
Watu weusi ni Tatizo Dunian