..had no slave tradeHili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?
Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?