Kwanini China haina Waafrika?

Kwanini China haina Waafrika?

Nchi za Asia, mashariki ya kati hata na Ulaya mashariki ni wabaguzi sana wanawaona watu weusi kama nyani tu nafuu hata wa Ulaya magharibi na Marekani kwa kiasi fulani wanatustahi watu weusi.

Kuna kitu hapa naona wengi hawaelewi, wakati wa biashara haramu ya utumwa watu weusi walipelekwa utumwani hadi China lkn wasingeweza kuzaana kwa sababu waarabu waliokuwa wakiwachuuza waliwahasi watumwa wote wa kiume kabla ya kuwasafirisha utumwani.
 
Duuuuuh
 
Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?

Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
Katika miaka 40 iliyopita uliwahi kuona mchina kwenye uongozi wa africa? Mzungu je?
 
Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?

Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
Sorry mkuu hivi kwa hapa Afrika China ipo nchi gani?
 
Sababuu kuu nchi za ki asia kuto kuwa waafrica au wazungu wengi ni hizi

1. Population
Hizi nchi toka dunia iumbwe zina watu wengi zina high birthrate sababu hii inafanya wasitake wafanyakazi yaani cheap labor kutoka africa maaana nao wana cheap labor hasa china watu 1.3 billion unahisi watahitaji watu kutoka africa

2. Akili IQ na ustaarabu
Hizo nchi hasa china japan korea kusini singapore huwa wana ustaarabu na akili mno ustaraabu na maanisha mfumo wa maisha hawana kona kona pia ni magenius kichwani iq zao ni kubwa mno kukaa na wajinga hadi wazungu ki iq wamazidiwa na hawa watu .... mara nyingi mtu mwenye akili sana hapendi kukaaa na mpumbavu sasa waafrica wengi wapumbavu na konana kona nyingi na uvivu...

3.MAJANGA YA AFRICA WALIPOFIKA HUKO MIAKA YA SIKU HIZI

baadhi ya wa africa hasa china inawapokea vizuri na kuwajali kabisa hasa guanzhou ni sehemu china ambayo next ina waafrica wengi na miaka ijayo kutakuwa na wachina wa kiafrica wengi na guanzhou bila africa sio guanzhou maana biashara ya jiji lile inategemea waafrica

Basi baadhi ya wafrica pale hasa wana nigeria wanauza madawa ya kulevya mara wizi mara kesi kupigana mara sijui utapeli kwenye atm ..... mara kuwafundisha wachina wezi utapeli hivyo baadhi ya wachina wanaanza kuwa chukia waafrica wote kwa ujumla ...inshort wana nigeria ndo mara nyingi sehemu yeyote wanaharibu taswira yetu waafrica maana lazima tu wataharisha tu
Umemaliza kila kitu mkuu. Hasa hiyo point namba 3.
 
Ukafanye nini kule.......watu wenyewe wanajiita wako dunia ya kwanza lakini wanakura mpaka panya kama ndugu zetu wa Newala umakondeni huko.........shida tupu chura mende papasi kunguni kwao ni viungo vya mboga
 
Nchi za Asia, mashariki ya kati hata na Ulaya mashariki ni wabaguzi sana wanawaona watu weusi kama nyani tu nafuu hata wa Ulaya magharibi na Marekani kwa kiasi fulani wanatustahi watu weusi.

Kuna kitu hapa naona wengi hawaelewi, wakati wa biashara haramu ya utumwa watu weusi walipelekwa utumwani hadi China lkn wasingeweza kuzaana kwa sababu waarabu waliokuwa wakiwachuuza waliwahasi watumwa wote wa kiume kabla ya kuwasafirisha utumwani.
Popote walipo watu weusi katika Dunia hii ni kero tupu.

Wana imani za kipumbavu za kishirikina, Wanauana wenyewe kwa wenyewe, wanafitiniana, hawapendani, ni Wachafu na hawawezi kutumia vizuri akili zao au uwezo wa kufikiri katika maendeleo...mbaya zaidi hawawezi hata kujiongoza

Watu weusi ni Tatizo Duniani
 
Eeehh
Popote walipo watu weusi katika Dunia hii ni kero tupu.

Wana imani za kipumbavu za kishirikina, Wanauana, wanafitiniana, hawapendani, ni Wachafu na hawawezi kutumia vizuri akili zao au uwezo wa kufikiri katika maendeleo...mbaya zaidi hawawezi hata kujiongoza

Watu weusi ni Tatizo Dunian
Eeeh, eeeh, eeeh, sawa
 
Back
Top Bottom