Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udikteta (kutoka neno lenye asili ya Kilatini: dictator; pia: imla kutoka Kiarabu) ni mfumo wa utawala wa nchi ambapo mtu mmoja asiyebanwa na sheria wala katiba anashika madaraka ya serikali na ana uwezo wa kuyatumia jinsi anavyoamua mwenyewe.fafanua maana ya udikteta.
Ni watu tusio na commitmentKwa nini ?
Si Udikteta wala Demokrasia zinatoa utajiri kwa nchi. Ni Viongozi wenye nia za kuleta maendeleo kwa nchi na si Wizi au UlaghaiKwa nini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia ?
Demokrasia haileti maendeleo..Haya tuzungumzie swali linavyouliz
Demokrasia haina connection yeyote na maendeleo... Mmedanganywa nchi zenye demokrasia zina maendeleo .Sijui wewe unajua ?