Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwasababu Demokrasia ni miongoni mwa uongo mkubwa duniani kuwai kutokeaKwa nini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia ?
Wewe wasema.OK OK OK kwa hiyo Kenya na Zambia zinaokoteza tu matapeli
Wana rithishana uongozi..Qatar wana maendeleo mazuri
Kombe la dunia lao lilifana
Ni mfumo ambao uligunduliwa na wazungu na wanautumia kuingilia nchi nyingine huku nchi zao vitu vya maendeleo havina democrasiaKi vipi ?
China ipo bara gani na hizo Zambia na Kenya zipo bara gani? Mao Ze Dong alikuwepo kipindi cha vuruvugu la ukombozi wa Nchi za Afrika kipindi hicho bado hizo Nchi zinatawaliwa, unajua Mao Ze Dong baada ya kuachiwa Nchi ya China na Wajapan ikiwa haieleweki alifanyaje ili kuinyanyua mpaka leo unaona inaeleweka?Kwa nini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia ?
Alifanyaje ?China ipo bara gani na hizo Zambia na Kenya zipo bara gani? Mao Ze Dong alikuwepo kipindi cha vuruvugu la ukombozi wa Nchi za Afrika kipindi hicho bado hizo Nchi zinatawaliwa, unajua Mao Ze Dong baada ya kuachiwa Nchi ya China na Wajapan ikiwa haieleweki alifanyaje ili kuinyanyua mpaka leo unaona inaeleweka?
Umekariri haipo hivyo .Demokrasia ni utawala bora.
Sasa ki vipi utawala bora usiwe kichochezi cha maendeleo katika nchi ?
Alitumia mbinu ambayo mpaka leo China wanaitumia kupata maendeleo, aliwapa watu wake uhuru wa kufanya wanachokipenda kila mtu afanye kwa vile anavyopenda unapenda kilimo lima, unapenda ufugaji fuga, nk watu walifanya kazi kuendana na constellation zao bila kuchanganywa snake afanye kazi za snake na rabit afanye kazi za rabit bila kuwamix huyu unamuweka huku na huyu unamuweka hukuAlifanyaje ?
China hawacheki na kima ujue. Mfano, jengo lililoporomoka Kariakoo jana; asubuhi ya leo wananchi wangekuwa wamekusanyika viwanja vya Mnazi Mmoja kushuhudia mass execution ya wote walioshiriki ujenzi ule! Mko tayari au ni siasa za kulindana?Kwa nini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia ?
Demokrasia ni nzuri, ukiwa na maendeleo na Demokrasia pamoja ni vizuri zaidi. Ukiwa na Demokrasia na maendeleo kidogo kuna afadhali, ukiwa na maendeleo bila Demokrasia kuna afadhali, ukiwa huna Demokrasia na huna maendeleo ni sawa na uko jehanamu.OK OK OK kwa hiyo Kenya na Zambia zinaokoteza tu matapeli
Udikteta pia hauleti maendeleo, zaidi sana una hatari ya.kuharibu hata maendeleo kidogo yaliyopatikana.Demokrasia haileti maendeleo..
Nchi za kiarabu wana demokrasia? Lakini angalia walipo... Qatar unaionaje?
Nchi yako ni ya kidemokrasia ama sio? Vipi maendeleo yake?Demokrasia ni utawala bora.
Sasa ki vipi utawala bora usiwe kichochezi cha maendeleo katika nchi ?
China hakuna udikteta..Udikteta pia hauleti maendeleo, zaidi sana una hatari ya.kuharibu hata maendeleo kidogo yaliyopatikana.
Kwanini north Korea watu wake niKwa nini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia ?
Maendeleo ya China, licha ya mfumo wa chama kimoja, yamefanikiwa kwa sababu ya mchanganyiko wa sababu za kihistoria, kijamii, kiuchumi, na kisiasa.Kwa nini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia ?