Kwanini Christiano Ronaldo hashtakiwi kwa Sheria za kiislamu huko Saudi Arabia?

Kwanini Christiano Ronaldo hashtakiwi kwa Sheria za kiislamu huko Saudi Arabia?

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Saudi Arabia ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria ya dini ya Kiislamu yaani Sharia.

Tena ukiwa Saudi Arabia ni kosa kubwa kuishi na mwanamke ambaye haujamuoa.

Lakini Cristiano Ronaldo anaishi na Georgina ambaye hajamuoa na hakamatwi wala kushitakiwa.

Contradiction...
FB_IMG_1738763921032.jpg
 
Hao waarabu wa Saudia kitambo sana wameshamia kwenye maisha ya ulaya tena Bora hata kwenye video ila ukienda Dubai ndio kabisa utakuta ni modern life "sharia"wamewaachia wataliban
 
Sheria imewekwa kwa ajili ya vitu vinyonge tu hata sheria za kupigwa mawe enzi izo zilikuwa special kwa watu maskini tu.

Kiufupi sheria za dini wanaotakiwa kuzifata ni maskini.
 
Uislam labda umebaki bongo tu labda na kwa wataleban. Huko kwingine wanaishi kama ulaya tu. Huu mpira ndio unatumika kuumaliza uislam hasa huko ulikotokea. Wanapelekewa world cup, olimpiki, kriketi na michezo mingine waachane na uislam. Nashangaa mbongo anang'ang'ana kukumbatia utamaduni wa kigeni ambao wenyewe wanautupilia mbali. Kama ni maadili hata bongo kuna maadili tangu zama za kale hakuna haja ya kukumbatia tamaduni za kiislam wakati wenye uislam wanaachana nao
 
Saudi Arabia ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria ya dini ya Kiislamu yaani Sharia.

Tena ukiwa Saudi Arabia ni kosa kubwa kuishi na mwanamke ambaye haujamuoa.

Lakini Cristiano Ronaldo anaishi na Georgina ambaye hajamuoa na hakamatwi wala kushitakiwa.

Contradiction...
View attachment 3226175
We unajuaje Kama anaishinae
 
Back
Top Bottom