Kwanini Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma, Je tofali za kuchoma ni za maskini?

Kwanini Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma, Je tofali za kuchoma ni za maskini?

My favourite bricks
 

Attachments

  • images (46).jpeg
    images (46).jpeg
    48.4 KB · Views: 21
  • images (47).jpeg
    images (47).jpeg
    46 KB · Views: 20
Sana tu. Zile cheap.
Tofali za kuchoma ni durable huwezi linganisha na za cement.
Kwa vipimo vya siku hizi, wachoma tofali wanamuumiza sana mnunuzi make wanafyatua silesi ndogondogo sana kiasi kwamba ili ueneze ujenzi inapaswa ununue tofali nyingi sana.
So wengi hata huko mikoani wame opt kutumia tofali za cement japo nazo dealers wake wanachakachua ratio.
 
Back
Top Bottom