Kwanini Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma, Je tofali za kuchoma ni za maskini?

pumba za mpunga mbona zinatosha kuchoma tofali zikaiva. Na huko mikoani maeneo wanayolima mpunga ndo hutumia. Au huko dasalamu na pumba hakuna pia?
I disagree mbona big cities kama Blantyre, Lusaka , Harare mpaka Namibia wanachoma tofali na hakuna
Kuna kampuni inaziuza.

Ila pia logistic za upatikanaji udongo, uchomaji kwa Dar ni kipengele...
Na vp ukifanyia ujenzi uimara upo ?
 
Utamaduni ndio Kila kitu
Dar Haina huo utamaduni na pwani yake.
Udongo ungeweza kutolewa Mwanambaya, Tabata, Mtoni Ulaya, Kisarawe au Mkuranga huko.
Nataka nijaribu ujenzi wa tofali za kuchoma sijai jengo litakuwa imara
Tofali za kuchoma ni durable huwezi linganisha na za cement.
Kwa vipimo vya siku hizi, wachoma tofali wanamuumiza sana mnunuzi make wanafyatua silesi ndogondogo sana kiasi kwamba ili ueneze ujenzi inapaswa ununue tofali nyingi sana.
So wengi hata huko mikoani wame opt kutumia tofali za cement japo nazo dealers wake wanachakachua ratio.
We kweli unajua ujenzi wa mikoani umeongea Fact
 
Tofali za kuchoma ni durable huwezi linganisha na za cement.
Kwa vipimo vya siku hizi, wachoma tofali wanamuumiza sana mnunuzi make wanafyatua silesi ndogondogo sana kiasi kwamba ili ueneze ujenzi inapaswa ununue tofali nyingi sana.
So wengi hata huko mikoani wame opt kutumia tofali za cement japo nazo dealers wake wanachakachua ratio.
Mkuu bei ya tofali za kuchoma inaendana na size. Kuna tofali utauziwa sh.50, 100, 250 according to it's size.

Kuna ujenzi wa kuta za double na single kutokana na size ya tofali utakajengea. Size ya tofali ya kuchoma haiwez kukupa hasara kutokana na bei ulonunulia

Ubora wa tofali ya kuchoma inategemea udongo na kiwango cha kuiva.
 
Ndg yangu wewe umeishi mikoa ipi ya hapa TZ
 
Back
Top Bottom