Tofali za kuchoma hazina uhusiano na umasikini.Mbona ukijengea mikoani unapewa sifa na ni ndoto ya kila mtu kuzitumia mikoani
Tofali za kuchoma hazina uhusiano na umasikini.Mbona ukijengea mikoani unapewa sifa na ni ndoto ya kila mtu kuzitumia mikoani
Acha kujamba jamba na kukwepa swali, hiyo ni type error ya kawaida tu , nimesema biskutiBistuki ndio nini master
Dar unakuja mchele. Pumba inabaki Ifakara.pumba za mpunga mbona zinatosha kuchoma tofali zikaiva. Na huko mikoani maeneo wanayolima mpunga ndo hutumia. Au huko dasalamu na pumba hakuna pia?
Sijajua pingamizi lako ni lipi hapo mkuu. Nenda mkoa wa Lindi, Iringa na Singida, kote huko wanatumia tofali za kuchoma za size tofauti.Ndg yangu wewe umeishi mikoa ipi ya hapa TZ
Upo sahihi. Isipokuwa mara nyingi huko mikoani i.e Moro wanafyatua tofali ambazo dimensions zake ni almost equally.Mkuu bei ya tofali za kuchoma inaendana na size. Kuna tofali utauziwa sh.50, 100, 250 according to it's size.
Kuna ujenzi wa kuta za double na single kutokana na size ya tofali utakajengea. Size ya tofali ya kuchoma haiwez kukupa hasara kutokana na bei ulonunulia
Ubora wa tofali ya kuchoma inategemea udongo na kiwango cha kuiva.
Punguza ujinga heshimu watu we fala nani anajamba?Acha kujamba jamba na kukwepa swali, hiyo ni type error ya kawaida tu , nimesema biskuti
Ndio kinachofanyika mkuu, kwani kibao cha elfu 10 ni big issue?Upo sahihi. Isipokuwa mara nyingi huko mikoani i.e Moro wanafyatua tofali ambazo dimensions zake ni almost equally.
Ukitaka kuwin labda uchonge vibao vya dimensions utakazo mwenyewe kisha uwatafute hao vijana wazoefu wakufyatulie kwa bei ya mapatano.
🖕Punguza ujinga heshimu watu we fala nani anajamba?
Okay mimi nimefanya ujenzi Mbeya , Tanga na. Morogoro naona size wanauza zote sawaSijajua pingamizi lako ni lipi hapo mkuu. Nenda mkoa wa Lindi, Iringa na Singida, kote huko wanatumia tofali za kuchoma za size tofauti.
Bei inatofautiana kulingana na sizes na inategemea imechomwa na mashine za umeme au tanuru la kuniTofali za kuchoma ni durable huwezi linganisha na za cement.
Kwa vipimo vya siku hizi, wachoma tofali wanamuumiza sana mnunuzi make wanafyatua silesi ndogondogo sana kiasi kwamba ili ueneze ujenzi inapaswa ununue tofali nyingi sana.
So wengi hata huko mikoani wame opt kutumia tofali za cement japo nazo dealers wake wanachakachua ratio.
Amani itawale wakuuPunguza ujinga heshimu watu we fala nani anajamba?
Sikujua kumbe zipo mashine za umeme za kuchomea tofaliBei inatofautiana kulingana na sizes na inategemea imechomwa na mashine za umeme au tanuru la kuni
Udongo wa maeneo ya Mgeninani, na malamba mawili kwa macho yangu nimeuona ni mfinyazDar yote hiyo ni pwani, udongo wake una mchanga mwingi.
Huwezi choma mchanga kupata tofali.
Ndio zipo,na zipo za HydrofoamSikujua kumbe zipo mashine za umeme za kuchomea tofali
Hili ndo jibu sasa. Watu wa pwani utamadun na teknolojia ya uchomaji hawajaitumia kabla. Huo utamadun wa kuchoma tofali haukuwepo. Mana nyumba zao nyingi za asili ni za udongo lakin haujachomwaUtamaduni ndio Kila kitu
Dar Haina huo utamaduni na pwani yake.
Udongo ungeweza kutolewa Mwanambaya, Tabata, Mtoni Ulaya, Kisarawe au Mkuranga huko.
Basi kumbe Dar inawezekana kutengeneza tofali za kuchomaNdio zipo,na zipo za Hydrofoam
Kabisa nakumbuka miaka ya 2000 mwanzoni sehemu za Chanika na mbagala kulikuwa na nyumba za udongoHili ndo jibu sasa. Watu wa pwani utamadun na teknolojia ya uchomaji hawajaitumia kabla. Huo utamadun wa kuchoma tofali haukuwepo. Mana nyumba zao nyingi za asili ni za udongo lakin haujachomwa
Inawezekana kabisa ila lazima kubalance udongo na mchanga. Wazungu wengi wanatumia haya matofali yanayochomwa kwa umeme hasa Arusha...ila ni lazima uwe umeme wa 3-Phase kama ule wa viwandaniBasi kumbe Dar inawezekana kutengeneza tofali za kuchoma
Got it , ila tofali za kuchoma hauwezi kujengea ghorofaInawezekana kabisa ila lazima kubalance udongo na mchanga. Wazungu wengi wanatumia haya matofali yanayochomwa kwa umeme hasa Arusha...ilani lazima uwe umeme wa 3-Phase kama ule wa viwandani
Kwanini usiweze? Zimeanza kujengewa maghorofa kwa karne nyingi sana kabla ya tofali za Cement🤣Got it , ila tofali za kuchoma hauwezi kujengea ghorofa