Kwanini Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma, Je tofali za kuchoma ni za maskini?

Kwanini Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma, Je tofali za kuchoma ni za maskini?

Udongo wowote wenye kiwango kikubwa cha mchanga hauchomi tofali, tofali zina utaalamu wake. Hata huko mikoani sio kila udongo unatoa tofali.
Udongo wanaoutumia kukandika vijumba vyao ndo huohuo mkuu. Mm nishaulinganisha na ule wa Shinyanga pale kipindi naishi kule.

Watu wa pwani hawajwah kuwa na teknolojia ya tofal za kuchoma.
 
Ila haziwezi kuhimili jengola ghorofa 3 kuendelea zinatamba kwa nyumba za chini tu

Hata hizo unazoona ghorofa nyingi, tofali za sementi zinatumika kama partition tu, nguzo ndio zinabeba jengo.

Tofali za kuchoma ni imara sana, zinaweza kutumika kubeba mzigo hata wa ghorofa, angali zile shule za zamani za magjorofa
 
Mbona kwenye miradi mikubwa ya serikali wanazikwepa hizo tofali
Wanazikwepaje?

KWani serikali inafyatua tofali?

Sasa kuna mtu ana tofali laki 2?

Wananua kwa mtu mmoja kuepuka usumbufu, wa kununua za kuchoma kwa watu wengi.

Na sehwmu nyingi kwenye mashule serikali ilikuwa inatumia tofali za kuchoma kabla ya wafyatuaji wa block kuwa wengi.

Na ratio yao kwa tofali huwa ni tofauti.
Ndio maana kuna sehemu wananunua za miamba, na siyo za cement.
 
Hata hizo unazoona ghorofa nyingi, tofali za sementi zinatumika kama partition tu, nguzo ndio zinabeba jengo.

Tofali za kuchoma ni imara sana, zinaweza kutumika kubeba mzigo hata wa ghorofa, angali zile shule za zamani za magjorofa
Unataka kuniambia tofali za kuchoma unaweza kujengea kama yale maghorofa ya twin tower posta ? Hapana ndg tofali za kuchoma mwisho wake ni ghorofa 2
 
Wanazikwepaje?

KWani serikali inafyatua tofali?

Sasa kuna mtu ana tofali laki 2?

Wananua kwa mtu mmoja kuepuka usumbufu, wa kununua za kuchoma kwa watu wengi.

Na sehwmu nyingi kwenye mashule serikali ilikuwa inatumia tofali za kuchoma kabla ya wafyatuaji wa block kuwa wengi.

Na ratio yao kwa tofali huwa ni tofauti.
Ndio maana kuna sehemu wananunua za miamba, na siyo za cement.
Ishu sio upatikanaji wa tofali laki mbili , ishu ni uimara , nimetoa mfano je yale maghorofa ya posta ya twin tower unaweza kujengea kwa tofali za kuchoma au ni kutaka kuwatoa watu kafara
 
Unataka kuniambia tofali za kuchoma unaweza kujengea kama yale maghorofa ya twin tower posta ? Hapana ndg tofali za kuchoma mwisho wake ni ghorofa 2
images (3).jpeg
images (2).jpeg
6d5e60018809bbf043e313e19c55479d.jpg
images.jpeg
images (1).jpeg
 
Matofali ya kuchoma yanachangia sana uharibifu mkubwa wa mazingira. Ukataji wa miti na uchimbzji wa udongp.

Mikoa ambayo haya yanafanyika, wamefikia kuchimba udongo kwenye maeneo ya makazi na kusababisha mabwawa ya kutengenezwa na kulwa chanzo cha mazalia ya mbu na wadudu wengine.

Ila ni matofali mazuri sana kutakuwa na uthibiti mzuri. Bei rahisi, mepesi, magumu na unaweza kupata ukuta wa nchi nane. Ni mazuri sehemu yenye tetemeko kama Kanda ya Kati na Kaskazini.
 
Back
Top Bottom