Kwanini Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma, Je tofali za kuchoma ni za maskini?

Kwanini Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma, Je tofali za kuchoma ni za maskini?

Matofali ya kuchoma yanachangia sana uharibifu mkubwa wa mazingira. Ukataji wa miti na uchimbzji wa udongp.

Mikoa ambayo haya yanafanyika, wamefikia kuchimba udongo kwenye maeneo ya makazi na kusababisha mabwawa ya kutengenezwa na kulwa chanzo cha mazalia ya mbu na wadudu wengine.

Ila ni matofali mazuri sana kutakuwa na uthibiti mzuri. Bei rahisi, mepesi, magumu na unaweza kupata ukuta wa nchi nane. Ni mazuri sehemu yenye tetemeko kama Kanda ya Kati na Kaskazini.
Hapo sikupingi kwenye uharibifu wa mazingira ni sawa mfano mkoa wa mbeya wilaya ya kyela kuna mabwawa mengi sana yanaharibu mazingira
 
Sasa ile si ili kumaliza haraka, maana hizo tofali za kuchoma zinahitaji huzingatie vipimo yasiwe makubwa kama block za saruji. Ila ni maeneo machache sana yenye udongo mzuri kwa kuchoma tofari nzr, maeneo mengi ni udongo wa mchanga.
Ni kweli wanatumia ila kwa nyumba za chini sio maghorofa marefu
 
Shida sio mfinyanzi; shida ni kiwango cha mchanga kwenye udongo husika. Mchanga unakuwa mwingi sana kwenye udongo; tofali haishiki na utakapo kuja kuichoma haiwi ngumu, inakuwa biskuti sababu ya kiwango kikubwa cha mchanga.
Hata mimi nilitaka kusema hivi ni kweli dsm kuna udongo wa mfinyanzi ila ni tofauti na mfinyanzi wa mikoani ndo maana dsm ni ngumu sana kuona kichuguu

Dsm hakuna ule udongo wa mfinyanzi ambao upo mkoani
 
Hivi kwanini Jiji la Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma tofauti na mikoa mingi ya Tanzania, je tofali za kuchoma ni ishara ya umaskini ?
Sio umasikini zile zinaendana aina ya udongo sio kila udongo niwa kuchoma..kuna udongo ukiuchoma ndo unazidi kulainika hivyo kwa hapa dar ni grarama sana labda ukanunue mkoani huko ndo uje kujengea huku
 
I disagree mbona big cities kama Blantyre, Lusaka , Harare mpaka Namibia wanachoma tofali na hakuna

Na vp ukifanyia ujenzi uimara upo ?
Tuna compare Dar es salaam na mikoa ya Tanzania au na miji mingine ya Afrika? Hebu kuwa specific....

Pia ni ishu ya tamaduni. Miji iliyotawaliwa na waingereza wanapendelea tofali za kuchoma compared na tofali za cement.

Tanganyika/Dar es salaam ilitawaliwa n la Mwarabu then mjerumani ambao wote wana tamaduni za kujenga na mawe au tofali compared to waingereza.

Nenda Nairobi tu hapo utaona....

So kuna effect za culture pia.
 
Ukisema ni ishu ya kitamaduni na Background ya wakoloni nakuelewa
 
Back
Top Bottom