Kwanini Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma, Je tofali za kuchoma ni za maskini?

Hivi kwanini Jiji la Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma tofauti na mikoa mingi ya Tanzania, je tofali za kuchoma ni ishara ya umaskini ?
Not at all—fanya utafiti kidogo. Tatizo ni kwamba tofali zetu za kuchoma zinatengenezwa kienyeji; ziko below standard. Otherwise, kwenye industrialized countries, tofali za kuchoma ni more expensive kuliko tofali za cement. They’re fireproof, much stronger and more durable.

Angalia hapa chini tofali za wenzetu zilivyo.
 
Attachments

  • IMG_0617.jpeg
    IMG_0617.jpeg
    2.2 MB · Views: 6
Not at all—fanya utafiti kidogo. Tatizo ni kwamba tofali zetu za kuchoma zinatengenezwa kienyeji; ziko below standard. Otherwise, kwenye industrialized countries, tofali za kuchoma ni more expensive kuliko tofali za cement. They’re fireproof, much stronger and more durable.

Angalia hapa chini tofali za wenzetu zilivyo.
They look stronger and very stunning hakuna haja hata ya kupaka rangi
 
Tofari ya kuchoma ni bora zaidi kuliko ya simenti pia jengo lake lina galanti ya miaka 100 asa kama iyo tofali ni ya udongo wa mfinyanzi na ikachomwa na kuiva kwa viwango na pia ata kujenga pia hutumika udongo wa mfinyanzi uliolainishwa vizur tofaut na tofali ya siment ambayo wataalam husema inagalantii ya miaka 50 tena apo iyo tofar iwe imetengenezwa na kujengwa bila uchakachuaji
 
Not at all—fanya utafiti kidogo. Tatizo ni kwamba tofali zetu za kuchoma zinatengenezwa kienyeji; ziko below standard. Otherwise, kwenye industrialized countries, tofali za kuchoma ni more expensive kuliko tofali za cement. They’re fireproof, much stronger and more durable.

Angalia hapa chini tofali za wenzetu zilivyo.
Very true
 
Tofari ya kuchoma ni bora zaidi kuliko ya simenti pia jengo lake lina galanti ya miaka 100 asa kama iyo tofali ni ya udongo wa mfinyanzi na ikachomwa na kuiva kwa viwango na pia ata kujenga pia hutumika udongo wa mfinyanzi uliolainishwa vizur tofaut na tofali ya siment ambayo wataalam husema inagalantii ya miaka 50 tena apo iyo tofar iwe imetengenezwa na kujengwa bila uchakachuaji
Miaka 70-100 ni tofali za Cement
Miaka 100- 500 za kuchoma na hata zaidi ya miaka hiyo
 
Tofali za kuchoma ni adimu sana Dar es Salaam hasa kutokana na urahisi wa kupata malighafi za tofali za saruji (mchanga na saruji). Udongo unaofaa kwa uchomaji unapatikana mbali, na mchakato unahitaji kuni nyingi za kuchomea jambo linaloongeza gharama na uharibifu wa mazingira.
 
Ukitaka ushuhuda wa tofali ya kuchoma jinsi ilivyo bora kwa apa tanzania wewe nenda morogoro au mkoa wa ruvuma then tembelea makanisa,shule,makaz ya watawa na hospital zote ambazo ni za wakoloni utaona majengo yao adi sasa yana zaidi ya miaka 70+ na akuna dalili ya uchakavu
 
Tofari ya kuchoma ni bora zaidi kuliko ya simenti pia jengo lake lina galanti ya miaka 100 asa kama iyo tofali ni ya udongo wa mfinyanzi na ikachomwa na kuiva kwa viwango na pia ata kujenga pia hutumika udongo wa mfinyanzi uliolainishwa vizur tofaut na tofali ya siment ambayo wataalam husema inagalantii ya miaka 50 tena apo iyo tofar iwe imetengenezwa na kujengwa bila uchakachuaji
Kwaakili tu ya kawaida cement inayoganda yenye nguvu ya saruji zinazotumika kuchanganyia zege unafananisha na tofali za kuchoma zenue mchanganyiko wa tope peke yake
 
Ukitaka ushuhuda wa tofali ya kuchoma jinsi ilivyo bora kwa apa tanzania wewe nenda morogoro au mkoa wa ruvuma then tembelea makanisa,shule,makaz ya watawa na hospital zote ambazo ni za wakoloni utaona majengo yao adi sasa yana zaidi ya miaka 70+ na akuna dalili ya uchakavu
Kwa majengo ya chini inawezekana lakini sio ghorofa
 
Back
Top Bottom