Kwanini Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma, Je tofali za kuchoma ni za maskini?

Kwanini Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma, Je tofali za kuchoma ni za maskini?

Sasa ile si ili kumaliza haraka, maana hizo tofali za kuchoma zinahitaji huzingatie vipimo yasiwe makubwa kama block za saruji. Ila ni maeneo machache sana yenye udongo mzuri kwa kuchoma tofari nzr, maeneo mengi ni udongo wa mchanga.
Hapo nimekuelewa mh . Kumbe yale matofali ya kuchoma yana limited size
 
Hata mimi nilitaka kusema hivi ni kweli dsm kuna udongo wa mfinyanzi ila ni tofauti na mfinyanzi wa mikoani ndo maana dsm ni ngumu sana kuona kichuguu

Dsm hakuna ule udongo wa mfinyanzi ambao upo mkoani
Hata mikoani siyo kila udongo unafaa kwa tofari.

Kwanza udongo wa kichuguu haufai kwa tofari kwa sababu unapasuka na ukichoma zinapukutika sana.
 
Mkuu bei ya tofali za kuchoma inaendana na size. Kuna tofali utauziwa sh.50, 100, 250 according to it's size.


Kuna ujenzi wa kuta za double na single kutokana na size ya tofali utakajengea. Size ya tofali ya kuchoma haiwez kukupa hasara kutokana na bei ulonunulia

Ubora wa tofali ya kuchoma inategemea udongo na kiwango cha kuiva.
kwa miaka hii sidhani kama kuna tofari ya 50 bei imepanda anzia 100, had 350 huko
 
Unataka kuniambia tofali za kuchoma unaweza kujengea kama yale maghorofa ya twin tower posta ? Hapana ndg tofali za kuchoma mwisho wake ni ghorofa 2
We jamaa jambo hujui, unauliza halafu ukijibiwa unajikuta Mjuaji tena
sasa kama unajua inaishia ghorofa mbili uliuliza yanini?🤣🤣🤣

Acha Ubishi, sio sifa nzuri
 
We jamaa jambo hujui, unauliza halafu ukijibiwa unajikuta Mjuaji tena
sasa kama unajua inaishia ghorofa mbili uliuliza yanini?🤣🤣🤣

Acha Ubishi, sio sifa nzuri
Malumbano ya hoja yanaidia kuupata ukweli

Lakini nitazingatia ushauri wako nitaacha ubishi lakini pia hilo jina lako la kubwa jinga badilisha maana nakuwa sina imani na ushauri wako nikiangalia jina lako
 
Back
Top Bottom