Kwanini Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma, Je tofali za kuchoma ni za maskini?

Udongo wa tope unafananisha na saruji ?
Lifespan ya tofali ya kuchoma ni kubwa kuliko ya cement, pia maeneo yenye fungus sana tofali za kuchoma zinasustain kuliko za cement.

Lakini pia tofali za cement siku hizi zinachakachuliwa sana kiasi ni bora utumie tofali za kuchoma. Ukipata tofali mfano kama ya mbozi mkoani songwe, tofali ya cement inakalishwa vizuri tu.

Cement maisha yake ni miaka 50 ya kuchoma haina expiredate.

Nimeona mbeya maeneo ya maghorofani kuna ghorofa 6 wamejengea tofali za kuchoma.

Kiufupi ukipata udongo mzuri wa mfinyaji then ukapata wanaochanganya wachanganye vizuri tofali yake huwa imara sana.
 
Tofari ya kuchoma ni bora zaidi kuliko ya simenti pia jengo lake lina galanti ya miaka 100 asa kama iyo tofali ni ya udongo wa mfinyanzi na ikachomwa na kuiva kwa viwango na pia ata kujenga pia hutumika udongo wa mfinyanzi uliolainishwa vizur tofaut na tofali ya siment ambayo wataalam husema inagalantii ya miaka 50 tena apo iyo tofar iwe imetengenezwa na kujengwa bila uchakachuaji
Ni kweli na tofali haina expiredate lakini pia napenda ukipata nene na ukuta unakuwa mnene kiasi k
 
Lifespan ya tofali ya kuchoma ni kubwa kuliko ya cement, pia maeneo yenye fungus sana tofali za kuchoma zinasustain kuliko za cement.

Lakini pia tofali za cement siku hizi zinachakachuliwa sana kiasi ni bora utumie tofali za kuchoma. Ukipata tofali mfano kama ya mbozi mkoani songwe, tofali ya cement inakalishwa vizuri tu.

Cement maisha yake ni miaka 50 ya kuchoma haina expiredate.

Nimeona mbeya maeneo ya maghorofani kuna ghorofa 6 wamejengea tofali za kuchoma.

Kiufupi ukipata udongo mzuri wa mfinyaji then ukapata wanaochanganya wachanganye vizuri tofali yake huwa imara sana.
Kama.umetembea Tanzania sehemu za kihistoria je kuna majengo ya kare yeyote uliyoyaona yamejengewa kwa tofali za kuchoma ?
 
Mengi sana. Mfano nimekaa sana iringa nenda pale boma utalikuta
 
Attachments

  • 20160229-111410-2-HDR-Pano-900x300.jpg.webp
    20160229-111410-2-HDR-Pano-900x300.jpg.webp
    78.6 KB · Views: 10
Hivi kwanini Jiji la Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma tofauti na mikoa mingi ya Tanzania, je tofali za kuchoma ni ishara ya umaskini ?
Tofali za kuchoma si kipomo cha hali ya uchumi ila kwa dar es alaam nadhani ni upatikanaji wa tofali kuzisafirisha ni gharama lakini pia utamaduni wa mahali na nature ya mazingira na sheria za mazingira kwa dar ni ngumu kufyatua na kuchoma tofali.

Ila inawezekana kujengea na siku hizi zimekuwa za kishua kulingana na ulembo wake unavyovutia macho na wengi.

Nyumba onakaa naturalist sana, pia kwangu ni tofali imara sana.

Wale tuliosoma NJOSS uboizini 😂😂
 
Attachments

  • Screenshot_20260703_100012_Google.jpg
    Screenshot_20260703_100012_Google.jpg
    124.3 KB · Views: 10
Tofali za kuchoma si kipomo cha hali ya uchumi ila kwa dar es alaam nadhani ni upatikanaji wa tofali kuzisafirisha ni gharama lakini pia utamaduni wa mahali na nature ya mazingira na sheria za mazingira kwa dar ni ngumu kufyatua na kuchoma tofali.

Ila inawezekana kujengea na siku hizi zimekuwa za kishua kulingana na ulembo wake unavyovutia macho na wengi.

Nyumba onakaa naturalist sana, pia kwangu ni tofali imara sana.

Wale tuliosoma NJOSS uboizini 😂😂
Oky , ikitokea eneo fulani la Dar watu wakianza ujenzi wa nyumba kwa tofali za kuchoma wengine watafwata trend
 
Back
Top Bottom