MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
I disagree mbona big cities kama Blantyre, Lusaka , Harare mpaka Namibia wanachoma tofali na hakunapumba za mpunga mbona zinatosha kuchoma tofali zikaiva. Na huko mikoani maeneo wanayolima mpunga ndo hutumia. Au huko dasalamu na pumba hakuna pia?
Na vp ukifanyia ujenzi uimara upo ?Kuna kampuni inaziuza.
Ila pia logistic za upatikanaji udongo, uchomaji kwa Dar ni kipengele...
Ewaaa nilitaka nimwambie huko huko.Sure kabisa , mfano tabata kisukuru kuna udongo wa mfinyanzi
Mchakato wa kuchoma tofali kwa Dar ni gharama kubwa na process ndefuHivi kwanini Jiji la Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma tofauti na mikoa mingi ya Tanzania, je tofali za kuchoma ni ishara ya umaskini ?
FactShida sio mfinyanzi; shida ni kiwango cha mchanga kwenye udongo husika. Mchanga unakuwa mwingi sana kwenye udongo; tofali haishiki na utakapo kuja kuichoma haiwi ngumu, inakuwa biskuti sababu ya kiwango kikubwa cha mchanga.
Hii ni sababu nyingineShida sio mfinyanzi; shida ni kiwango cha mchanga kwenye udongo husika. Mchanga unakuwa mwingi sana kwenye udongo; tofali haishiki na utakapo kuja kuichoma haiwi ngumu, inakuwa biskuti sababu ya kiwango kikubwa cha mchanga.
HaahaHujawahi kwenda Hospitali ya misheni songea peramiho
Utajua haujui ile tofali ya kuchoma sijui mzungu iliwekwa nini mbali na kuiva inang'aa
Nataka nijaribu ujenzi wa tofali za kuchoma sijui jengo litakuwa imara ?Utamaduni ndio Kila kitu
Dar Haina huo utamaduni na pwani yake.
Udongo ungeweza kutolewa Mwanambaya, Tabata, Mtoni Ulaya, Kisarawe au Mkuranga huko.
Nenda morogoro uko yaani jijini tofali za kuchoma si biskuti TU iliyojaziwaHivi kwanini Jiji la Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma tofauti na mikoa mingi ya Tanzania, je tofali za kuchoma ni ishara ya umaskini ?
Nataka nijaribu ujenzi wa tofali za kuchoma sijai jengo litakuwa imaraUtamaduni ndio Kila kitu
Dar Haina huo utamaduni na pwani yake.
Udongo ungeweza kutolewa Mwanambaya, Tabata, Mtoni Ulaya, Kisarawe au Mkuranga huko.
We kweli unajua ujenzi wa mikoani umeongea FactTofali za kuchoma ni durable huwezi linganisha na za cement.
Kwa vipimo vya siku hizi, wachoma tofali wanamuumiza sana mnunuzi make wanafyatua silesi ndogondogo sana kiasi kwamba ili ueneze ujenzi inapaswa ununue tofali nyingi sana.
So wengi hata huko mikoani wame opt kutumia tofali za cement japo nazo dealers wake wanachakachua ratio.
Mkuu bei ya tofali za kuchoma inaendana na size. Kuna tofali utauziwa sh.50, 100, 250 according to it's size.Tofali za kuchoma ni durable huwezi linganisha na za cement.
Kwa vipimo vya siku hizi, wachoma tofali wanamuumiza sana mnunuzi make wanafyatua silesi ndogondogo sana kiasi kwamba ili ueneze ujenzi inapaswa ununue tofali nyingi sana.
So wengi hata huko mikoani wame opt kutumia tofali za cement japo nazo dealers wake wanachakachua ratio.
Morogoro kwenye ujenzi wako nyuma sana hao , mji wao hata siuelewiNenda morogoro uko yaani jijini tofali za kuchoma si biskuti TU iliyojaziwa
Ndg yangu wewe umeishi mikoa ipi ya hapa TZMkuu bei ya tofali za kuchoma inaendana na size. Kuna tofali utauziwa sh.50, 100, 250 according to it's size.
Kuna ujenzi wa kuta za double na single kutokana na size ya tofali utakajengea. Size ya tofali ya kuchoma haiwez kukupa hasara kutokana na bei ulonunulia
Ubora wa tofali ya kuchoma inategemea udongo na kiwango cha kuiva.
Ndio Kuna tofali za kuchoma kwa wingiMorogoro kwenye ujenzi wako nyuma sana hao , mji wao hata siuelewi
Tofali za kuchoma sio za Kimaskini.Hivi kwanini Jiji la Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma tofauti na mikoa mingi ya Tanzania, je tofali za kuchoma ni ishara ya umaskini ?
Hilo sipingi ila nyumbazao hazina uboraNdio Kuna tofali za kuchoma kwa wingi
Mbona ukijengea mikoani unapewa sifa na ni ndoto ya kila mtu kuzitumia mikoaniTofali za kuchoma sio za Kimaskini.
Biskuti kivipi?Nenda morogoro uko yaani jijini tofali za kuchoma si biskuti TU iliyojaziwa
Bistuki ndio nini masterBistuki kivipi?