Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Nimekaa na kutafakari sana Kwa nini wasabatho wanalipiga vita sana kanisa katoliki na hiyo vita siyo kwa makanisa mengine?
Wajuzi mnijuze!
Wajuzi mnijuze!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye nywele wameanza kukengeukaWasabato wanapinga mfumo wa upapa(papal system) hivyo VATICAN ni adui moja kwa moja , nimebahatika kukaa nao karibu, wanaamini katika kupumzika siku ya jumamosi (ya Saba) .
Note :wanawake wa kisabato wanaongoza kwa nywele natural 😁
KwenyeLolKwasababu mti wenye natunda ndio hupigwa mawe
Nywele siku hizi wanaweka madoido mengiKwenye nywele wameanza kukengeuka
AiseeInasemekana katoriki ni mama wa machukizo ndani ya makanisa mengi, katoriki ndiye alibadilisha siku ya kumuabudu Allah, inafahamika katoriki siyo dini ni serikali inayotumia dini kujikweza na kujiimarisha kwa kuhadaa, katoriki ndiye kasemwa kwenye kitabu cha Ufunuo 17...
Yaani SDA ukimwambia juu ya RC ni sawa na Black tiger mwenye njaa na akamuona mamba mtoni.
SDA na RC hawawezi kukaa kwenye mimbari moja, yaani SDA anaweza kupasua hapo, ni vita kali 😄!.
Huyo SDA kaandikiwa biblia na nani?Inasemekana katoriki ni mama wa machukizo ndani ya makanisa mengi, katoriki ndiye alibadilisha siku ya kumuabudu Allah, inafahamika katoriki siyo dini ni serikali inayotumia dini kujikweza na kujiimarisha kwa kuhadaa, katoriki ndiye kasemwa kwenye kitabu cha Ufunuo 17...
Yaani SDA ukimwambia juu ya RC ni sawa na Black tiger mwenye njaa na akamuona mamba mtoni.
SDA na RC hawawezi kukaa kwenye mimbari moja, yaani SDA anaweza kupasua hapo, ni vita kali 😄!.
Siyo KATORIKI.Inasemekana katoriki ni mama wa machukizo ndani ya makanisa mengi, katoriki ndiye alibadilisha siku ya kumuabudu Allah, inafahamika katoriki siyo dini ni serikali inayotumia dini kujikweza na kujiimarisha kwa kuhadaa, katoriki ndiye kasemwa kwenye kitabu cha Ufunuo 17...
Yaani SDA ukimwambia juu ya RC ni sawa na Black tiger mwenye njaa na akamuona mamba mtoni.
SDA na RC hawawezi kukaa kwenye mimbari moja, yaani SDA anaweza kupasua hapo, ni vita kali 😄!.
Ukitulia na kuisoma Bible ukiwa neutral, utagundua kuwa wasabato wapo sahihi kuliko dhehebu lolote lile duniani,Nimekaa na kutafakari sana Kwa nini wasabatho wanalipiga vita sana kanisa katolikina hiyo vita siyo kwa makanisa mengine?
Wajuzi mnijuze!
Hivi unaelewa hata maana ya Biblia?Ukitulia na kuisoma Bible ukiwa neutral, utagundua kuwa wasabato wapo sahihi kuliko dhehebu lolote lile duniani,
1: infact ulaji nguruwe ni kharam hata kibiblia,,eti wanadai "kimuingiacho mtu hakimtii unajisi bali kimtokacho"Kiuhalisia ukiisoma aya nzima pale yesu wala hakuwa akizungumzia ulaji wala nini ,alikuwa akizungumzia "maneno mabaya".
2:mamlaka ya papa kwenye biblia biblia,hivyo wapo sahihi kuipinga
3:mapadri-& masista hawajaandikwa popote pale kwenye biblia.
4:kuabudu siku ya kwanza ya juma " jumapili" hakujaandikwa popote pale kwenye biblia
5:katoliki haliongozwi na mwongozo wa biblia bali "amri za kanisa" na "katekisimu"....kwanini mtu aliyesoma biblia asipinge?
WASABATO WANATUMIA BIBLIA KUHOJI, HIVYO WAKATOLIKI HUWA HIYO LIGI WANAIKIMBIA ,HAWAYATAKI MAANDIKO YA BIBLIA AMBAYO PIA MARA MOJAMOJA NA WAO BIBLIA WANAITUMIA..
Mimi siyo msabato,bali muabudu mizimu ya mababu zangu,dini zenu hazinihusu kivile ila huwa nasoma biblia na Quran ili kujua mbivu na mbichi na kupanua ufahamu.