Utakuwa una funza kichwani. Umesoma vizuri kitabu cha hesabu 24. 8-9. Muwe mnasoma na kuelewa Mungu hajakataza sanamu wala images ila kuzipa uhai na kuamini zina nguvu zenyewe kama zenyewe. Otherwise asingetoa maelekezo inatengenezwe sanamu ya nyoka, au makerubi nk. Sisi tunajitambua hatukurupuki , hakuna mkatoliki anaabudu sanamu mzee, shauri lako. Tuna akili sana tu tena mpaka zinamiminika na sanamu hatuachi kuzitumia kwakuwa hazijakatazwa kwa matumizi yasiomkera Mungu. Alafu kama unaamini Yesu ni Mungu alafu mamaake unataka tumuite mama wa nani?🤷🏿♂️ waprotestanti bana. Mmepoteana na kupotea😂
Sio tu funza we utakuwa na mabungu kichwani, maana unasoma biblia kama gazeti badala ya maandiko matakatifu, hesabu 24 8-9 hivi umeisoma kweli au umekurupuka??
Ni hivi biblia hausomi kama gazeti la michezo inahitaji uielewe, chochote alichoagiza Mungu kilikuwa na maana na ndio maana alitoa Amri 10 za Mungu na alisema usijifanyie sanamu ya kuchonga akimaanisha huwezi ukakaa tu na kujiamulia sharti akuagize yeye na sio vinginevyo
Unaongelea sanamu la nyoka jangwani ndio imehalalisha nyie kutengeneza sanamu, je alimuamuru Mussa kufanya hivyo kwa sababu gani??, Na je walilisujudia lile sanamu si ilikuwa kuangalia tu??.
Mungu alivyomuamuru Mussa kutupa fimbo igeuke nyoka je na nyie mtafanya hivyo??, Si mnakataa ni ushirikina kufanya hivyo, vipi Ibrahimu kumtoa Sadaka Isaka? Je alihalalidha kafara ya damu?? Hizi zote aliamuru kwa sababu vinginevyo tungeiga kila kitu
Utakuwa una funza kichwani. Umesoma vizuri kitabu cha hesabu 24. 8-9. Muwe mnasoma na kuelewa Mungu hajakataza sanamu wala images ila kuzipa uhai na kuamini zina nguvu zenyewe kama zenyewe. Otherwise asingetoa maelekezo inatengenezwe sanamu ya nyoka, au makerubi nk. Sisi tunajitambua hatukurupuki , hakuna mkatoliki anaabudu sanamu mzee, shauri lako. Tuna akili sana tu tena mpaka zinamiminika na sanamu hatuachi kuzitumia kwakuwa hazijakatazwa kwa matumizi yasiomkera Mungu. Alafu kama unaamini Yesu ni Mungu alafu mamaake unataka tumuite mama wa nani?🤷🏿♂️ waprotestanti bana. Mmepoteana na kupotea😂
We utakuwa na mabungu kichwani, si bure hivi biblia unaisoma kama gazeti ama??
Amri 10 za Mungu zinasemaje? Usijifanyie sanamu ya kuchonga kwanini nyie mnajifanyia? Tena mnaiabudu na kuisujudia kabisa
Kwani ni uongo sanamu la Bikira Maria hampigu magoti mbele yake na kurusha sadaka kabisa??
Unaongelea issue ya sanamu la nyoka iliyotengenezwa na Mussa kwa maelekezo ya Mungu kuwa ndio imewapa ruhusa kutengeza masanamu, kumbuka lile lilikuwa ni agizo la moja kwa moja kutoka kwa Mungu na kwa sababu maalum
Maelekezo ya moja kwa moja kutoka kwa Mungu yalifanyika mengi mbona hamuyaigi???
Alimuamrisha Musa atupe fimbo iwe nyoka, leo mtu akifanya hivyo si mnasema ushirikina?,
Aliamuru Ibrahimi amtoe zaka Isaka etc
Mwisho kabisa kula chuma hiko
2 Wakorintho 6:16
[16]Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
And what agreement hath the temple of God with idols? for ye are the temple of the living God; as God hath said, I will dwell in them, and walk in them; and I will be their God, and they shall be my people.