Kwanini dhehebu la SDA huwa wanalishambiulia zaidi Kanisa Katoliki na siyo madhehebu mengine?

Kwanini dhehebu la SDA huwa wanalishambiulia zaidi Kanisa Katoliki na siyo madhehebu mengine?

Ukitulia na kuisoma Bible ukiwa neutral, utagundua kuwa wasabato wapo sahihi kuliko dhehebu lolote lile duniani,
1: infact ulaji nguruwe ni kharam hata kibiblia,,eti wanadai "kimuingiacho mtu hakimtii unajisi bali kimtokacho"Kiuhalisia ukiisoma aya nzima pale yesu wala hakuwa akizungumzia ulaji wala nini ,alikuwa akizungumzia "maneno mabaya".
2:mamlaka ya papa kwenye biblia biblia,hivyo wapo sahihi kuipinga
3:mapadri-& masista hawajaandikwa popote pale kwenye biblia.
4:kuabudu siku ya kwanza ya juma " jumapili" hakujaandikwa popote pale kwenye biblia
5:katoliki haliongozwi na mwongozo wa biblia bali "amri za kanisa" na "katekisimu"....kwanini mtu aliyesoma biblia asipinge?
WASABATO WANATUMIA BIBLIA KUHOJI, HIVYO WAKATOLIKI HUWA HIYO LIGI WANAIKIMBIA ,HAWAYATAKI MAANDIKO YA BIBLIA AMBAYO PIA MARA MOJAMOJA NA WAO BIBLIA WANAITUMIA..

Mimi siyo msabato,bali muabudu mizimu ya mababu zangu,dini zenu hazinihusu kivile ila huwa nasoma biblia na Quran ili kujua mbivu na mbichi na kupanua ufahamu.
Sisi tunasoma pia na Agano jipya..kwanini hao wasabato hawalitaki agano jipya?.ikiwa hilo agano la kale lilikua sheria nyingi zilikua za Mussa..ambazo Yesu alipokuja aliziboresha..
 
Sisi tunasoma pia na Agano jipya..kwanini hao wasabato hawalitaki agano jipya?.ikiwa hilo agano la kale lilikua sheria nyingi zilikua za Mussa..ambazo Yesu alipokuja aliziboresha..
Sisi tunasoma Bible kama ilivyo, hatujawahi kubagua agano jipya na la kale. RC mmeamua kuibagua bible na kuegemea agano jipya peke yake.
 
Short and clear .wasabato wanaamini kupitia kitabu cha ufunuo kwenye biblia kuwa alama ya mnyama kuna Marekani na katoliki wataungana kupitisha amri ya kusali jumapili na hapo ndio kutatokea Mateso kwa washika sabato...Rumi ya zamani ilitesa wakristo na Roma ya sasa itakuja tesa tena wakristo
 
Hiyo Bibilia wanayoamini si wameandika hao hao wanaowachukia
 
Hao ni watumwa wa agano la kale.mbaya zaidi sheria zilikua nyingi tu na zingine hawazifuati. Yesu alikuja kuziboresha mana zilikua mzigo kweli kweli. Ndomana kwenye mahubiri ya Yesu hatusikii mambo ya kutokula nguruwe sijui na vijisheria sheria vya ajabu. Sema tu wasabato kama waislam tu kila siku kushikilia sheria ambazo zilikua mahsusi kwa waisrael sasa sijui wanajiita wakristo kwa msingi upi while bado wanashikilia hzo sheria
 
Inasemekana katoriki ni mama wa machukizo ndani ya makanisa mengi, katoriki ndiye alibadilisha siku ya kumuabudu Allah, inafahamika katoriki siyo dini ni serikali inayotumia dini kujikweza na kujiimarisha kwa kuhadaa, katoriki ndiye kasemwa kwenye kitabu cha Ufunuo 17...

Yaani SDA ukimwambia juu ya RC ni sawa na Black tiger mwenye njaa na akamuona mamba mtoni.

SDA na RC hawawezi kukaa kwenye mimbari moja, yaani SDA anaweza kupasua hapo, ni vita kali 😄!.
Hapo kwenye kuibadilisha siku ya kumuabudu Allah umechapia. Hebu rekebisha kidogo.
 
Back
Top Bottom