Ukitulia na kuisoma Bible ukiwa neutral, utagundua kuwa wasabato wapo sahihi kuliko dhehebu lolote lile duniani,
1: infact ulaji nguruwe ni kharam hata kibiblia,,eti wanadai "kimuingiacho mtu hakimtii unajisi bali kimtokacho"Kiuhalisia ukiisoma aya nzima pale yesu wala hakuwa akizungumzia ulaji wala nini ,alikuwa akizungumzia "maneno mabaya".
2:mamlaka ya papa kwenye biblia biblia,hivyo wapo sahihi kuipinga
3:mapadri-& masista hawajaandikwa popote pale kwenye biblia.
4:kuabudu siku ya kwanza ya juma " jumapili" hakujaandikwa popote pale kwenye biblia
5:katoliki haliongozwi na mwongozo wa biblia bali "amri za kanisa" na "katekisimu"....kwanini mtu aliyesoma biblia asipinge?
WASABATO WANATUMIA BIBLIA KUHOJI, HIVYO WAKATOLIKI HUWA HIYO LIGI WANAIKIMBIA ,HAWAYATAKI MAANDIKO YA BIBLIA AMBAYO PIA MARA MOJAMOJA NA WAO BIBLIA WANAITUMIA..
Mimi siyo msabato,bali muabudu mizimu ya mababu zangu,dini zenu hazinihusu kivile ila huwa nasoma biblia na Quran ili kujua mbivu na mbichi na kupanua ufahamu.