Ukitulia na kuisoma Bible ukiwa neutral, utagundua kuwa wasabato wapo sahihi kuliko dhehebu lolote lile duniani,
1: infact ulaji nguruwe ni kharam hata kibiblia,,eti wanadai "kimuingiacho mtu hakimtii unajisi bali kimtokacho"Kiuhalisia ukiisoma aya nzima pale yesu wala hakuwa akizungumzia ulaji wala nini ,alikuwa akizungumzia "maneno mabaya".
2:mamlaka ya papa kwenye biblia biblia,hivyo wapo sahihi kuipinga
3:mapadri-& masista hawajaandikwa popote pale kwenye biblia.
4:kuabudu siku ya kwanza ya juma " jumapili" hakujaandikwa popote pale kwenye biblia
5:katoliki haliongozwi na mwongozo wa biblia bali "amri za kanisa" na "katekisimu"....kwanini mtu aliyesoma biblia asipinge?
WASABATO WANATUMIA BIBLIA KUHOJI, HIVYO WAKATOLIKI HUWA HIYO LIGI WANAIKIMBIA ,HAWAYATAKI MAANDIKO YA BIBLIA AMBAYO PIA MARA MOJAMOJA NA WAO BIBLIA WANAITUMIA..
Mimi siyo msabato,bali muabudu mizimu ya mababu zangu,dini zenu hazinihusu kivile ila huwa nasoma biblia na Quran ili kujua mbivu na mbichi na kupanua ufahamu.
Padre ni neno la kilantini lenye maana ya paroko,padre ni cheo ndani ya kanisa akimaanisha kiongozi anaewachunga watu kiroho.
Kama katoliki hawaongozwi na Biblia misingi Yao ya Imani wanatoa wapi.
Ukatoliki ndio Ukristo ndio umeutunza Ukristo usitoweke Duniani kwa muda wa miaka 2023 hadi Sasa.
Madhehebu yote haya hayana miaka 200 kuwepo Duniani wakati katoliki lina miaka 2023.
Yesu Kristo mfufuka ndie bwana wa sabato alipofufuka ndipo Ukristo ulipoanza.
Kuhusu siku wanafata kalenda ipi Mayan calendar, Gregory calendar nk.
Dunia imepita kwenye matumizi mbalimbali ya calendar.
Waislamu, wachina, wahindi,nk Wana kalenda zao achana na hii iliyoamuliwa kidunia tunayoitumia.
Masister, mapadre wapo kwenye Biblia google neno matowashi.
Katoliki pekee yake ndio Ina matowashi hakuna dhehebu lolote Duniani lenye matowashi.
Matowashi ni watu walioamua kutoishi maisha ya ndoa ili wajitoe kufanya kazi ya Mungu
Huwezi ukamtumikia Mungu na familia haiwezekani maana ukizembea kimoja ni dhambi ukibase sana kwa Mungu na ukashindwa kuhudumia family ni dhambi, ukibase kwa family ukaacha kazi ya Mungu ni makosa.
Romani katoliki limedumu miaka 2023 kwa sababu halikuruhusu ndoa kwa mapadre.