Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Historia ya kanisa Katoliki ni mbaya sana. Imejaa kila aina ya unyama unaoufahamu duniani, Mauaji, uporaji, uzinzi mbaya, vita na uchawi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tunasoma pia na Agano jipya..kwanini hao wasabato hawalitaki agano jipya?.ikiwa hilo agano la kale lilikua sheria nyingi zilikua za Mussa..ambazo Yesu alipokuja aliziboresha..Ukitulia na kuisoma Bible ukiwa neutral, utagundua kuwa wasabato wapo sahihi kuliko dhehebu lolote lile duniani,
1: infact ulaji nguruwe ni kharam hata kibiblia,,eti wanadai "kimuingiacho mtu hakimtii unajisi bali kimtokacho"Kiuhalisia ukiisoma aya nzima pale yesu wala hakuwa akizungumzia ulaji wala nini ,alikuwa akizungumzia "maneno mabaya".
2:mamlaka ya papa kwenye biblia biblia,hivyo wapo sahihi kuipinga
3:mapadri-& masista hawajaandikwa popote pale kwenye biblia.
4:kuabudu siku ya kwanza ya juma " jumapili" hakujaandikwa popote pale kwenye biblia
5:katoliki haliongozwi na mwongozo wa biblia bali "amri za kanisa" na "katekisimu"....kwanini mtu aliyesoma biblia asipinge?
WASABATO WANATUMIA BIBLIA KUHOJI, HIVYO WAKATOLIKI HUWA HIYO LIGI WANAIKIMBIA ,HAWAYATAKI MAANDIKO YA BIBLIA AMBAYO PIA MARA MOJAMOJA NA WAO BIBLIA WANAITUMIA..
Mimi siyo msabato,bali muabudu mizimu ya mababu zangu,dini zenu hazinihusu kivile ila huwa nasoma biblia na Quran ili kujua mbivu na mbichi na kupanua ufahamu.
Ushawahi kupatukana na kupadharau ulipotoka? Sema Mimi hua sipendi kuongea mambo ya wasabatoKwa nini wasabatho wanalipiga vita sana kanisa katolikina hiyo vita siyo kwa makanisa mengine?
Ref..historia ya Islamic Empires...Historia ya kanisa Katoliki ni mbaya sana. Imejaa kila aina ya unyama unaoufahamu duniani, Mauaji, uporaji, uzinzi mbaya, vita na uchawi.
Hii ligi NGUMU ikishika Moto hapatatosha humuSisi tunasoma pia na Agano jipya..kwanini hao wasabato hawalitaki agano jipya?.ikiwa hilo agano la kale lilikua sheria nyingi zilikua za Mussa..ambazo Yesu alipokuja aliziboresha..
Sisi tunasoma Bible kama ilivyo, hatujawahi kubagua agano jipya na la kale. RC mmeamua kuibagua bible na kuegemea agano jipya peke yake.Sisi tunasoma pia na Agano jipya..kwanini hao wasabato hawalitaki agano jipya?.ikiwa hilo agano la kale lilikua sheria nyingi zilikua za Mussa..ambazo Yesu alipokuja aliziboresha..
Hiyo Bibilia wanayoamini si wameandika hao hao wanaowachukiaShort and clear .wasabato wanaamini kupitia kitabu cha ufunuo kwenye biblia kuwa alama ya mnyama kuna Marekani na katoliki wataungana kupitisha amri ya kusali jumapili na hapo ndio kutatokea Mateso kwa washika sabato...Rumi ya zamani ilitesa wakristo na Roma ya sasa itakuja tesa tena wakristo
Labda kuna watu wanafikiri Biblia imeandikwa na Bi. Ellen G. White.Hiyo Bibilia wanayoamini si wameandika hao hao wanaowachukia
Nini maana ya hatujko chini ya sheria Bali chini ya neema?Sisi tunasoma Bible kama ilivyo, hatujawahi kubagua agano jipya na la kale. RC mmeamua kuibagua bible na kuegemea agano jipya peke yake.
Na katika Agano Jipya mmeegemea Ufunuo wa Yohana.Sisi tunasoma Bible kama ilivyo, hatujawahi kubagua agano jipya na la kale. RC mmeamua kuibagua bible na kuegemea agano jipya peke yake.
Hapo kwenye kuibadilisha siku ya kumuabudu Allah umechapia. Hebu rekebisha kidogo.Inasemekana katoriki ni mama wa machukizo ndani ya makanisa mengi, katoriki ndiye alibadilisha siku ya kumuabudu Allah, inafahamika katoriki siyo dini ni serikali inayotumia dini kujikweza na kujiimarisha kwa kuhadaa, katoriki ndiye kasemwa kwenye kitabu cha Ufunuo 17...
Yaani SDA ukimwambia juu ya RC ni sawa na Black tiger mwenye njaa na akamuona mamba mtoni.
SDA na RC hawawezi kukaa kwenye mimbari moja, yaani SDA anaweza kupasua hapo, ni vita kali 😄!.