Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
Kabisa kabisa mkuu. Waache na agano lao la kale utazani wao ji waisraelNa jipya likishaanza kazi, kuukuu hukaa pembezoni.
Wakristo wanaishi katika Agano Jipya, Agano lililo bora zaidi ambalo Mdhamini wake ni Yesu Kristo.
Uwe unanukuu vitu ambavyo una uhakika navyo, vinginevyo utakuwa unajidanganya mwenyewe na unawapoteza wale ambao ni wavivu wa kuthibitisha taarifa.Angalia mtazamo wa Wasabato juu ya ubatizo.
Baptism is also used in church membership categories, but this is not an issue of salvation. It’s just an administrative method of keeping up with a large family of believers.
Nice 👍. Ngoja Leo nihamie kwako na wasabato wote.Uwe unanukuu vitu ambavyo una uhakika navyo, vinginevyo utakuwa unajidanganya mwenyewe na unawapoteza wale ambao ni wavivu wa kuthibitisha taarifa.
Taarifa ni hii, ubatizo tena wa maji mengi ni mojawapo ya masuala muhimu sana katika kanisa la Sabato na haifanyiki bora liwe, na ndio maana anabatizwa mtu ambae anajua mema na mabaya (kuanzia miaka 12 na kuendelea tena baada ya mafunzo) na kuna darasa maalum kwa wabatizwa wapya ili wajue biblia na misingi ya kanisa
Na kwenye ubatizo ni lazima umkiri Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wako na unaahidi kuishi maisha yenye kumpendeza Mungu na wanadamu kwa kuepuka yote yasiyofaa.
Sawa sio kwa ubaya, kwanini linapokuja suala la baadhi ya vifungu kama hivyo biblia huwa mnaruka ruka kama ndege badala ya kueleza ukweliHata wewe ni Msabato. Hivi umewahi walau muda ukafuatilia ibada ya RC? Kila siku ina neno la Tafakari kutoka katika Biblia, hapa nasisitiza, kila siku ina neno lake la Tafakari na kila siku kuna Ibada, halafu anakuja mtu kusema eti Biblia haitumiwi RC. Nitajie siku yoyote mwaka huu nikupe neno la siku hiyo halafu uangalie linatoka nje au ndani ya Biblia.
Vitu vingine muwe mnauliza. Katekisimu ni kama syllabus ya mafundisho, mtoto wa Form One huwezi kumpa hesabu ya Integration, vivyo hivyo Katekisimu inaonyesha mtiririko wa mafundisho, lakini contents zote zinatoka kwenye Biblia, sasa hapo RC wapongezwe au walaumiwe? Maana RC wanaamini katika elimu, haiwezekani ukasoma Biblia kwa kukariri maandishi bila kuelewa mantiki ya andiko.
Utakuwa una funza kichwani. Umesoma vizuri kitabu cha hesabu 24. 8-9. Muwe mnasoma na kuelewa Mungu hajakataza sanamu wala images ila kuzipa uhai na kuamini zina nguvu zenyewe kama zenyewe. Otherwise asingetoa maelekezo inatengenezwe sanamu ya nyoka, au makerubi nk. Sisi tunajitambua hatukurupuki , hakuna mkatoliki anaabudu sanamu mzee, shauri lako. Tuna akili sana tu tena mpaka zinamiminika na sanamu hatuachi kuzitumia kwakuwa hazijakatazwa kwa matumizi yasiomkera Mungu. Alafu kama unaamini Yesu ni Mungu alafu mamaake unataka tumuite mama wa nani?🤷🏿♂️ waprotestanti bana. Mmepoteana na kupotea😂Na ibada ya masanamu ilikuwepo kabla ya kanisa na mnaitekeleza mpaka leo, hivi inakuaje mtu na akili zako timamu unasujudu mbele ya sanamu la mwanamke halagu mnamwita mama wa masihi?, Unajifanyiaje sanamu la kuchonga na unaamini lina baraka wakati limetengenezwa na fundi mwenye mikono kama wewe?
Jamaa unasoma Biblia halafu unachimbua utakavyo wewe, daaaaah binadamu bhanaUtakuwa una funza kichwani. Umesoma vizuri kitabu cha hesabu 24. 8-9. Muwe mnasoma na kuelewa Mungu hajakataza sanamu wala images ila kuzipa uhai na kuamini zina nguvu zenyewe kama zenyewe. Otherwise asingetoa maelekezo inatengenezwe sanamu ya nyoka, au makerubi nk. Sisi tunajitambua hatukurupuki , hakuna mkatoliki anaabudu sanamu mzee, shauri lako. Tuna akili sana tu tena mpaka zinamiminika na sanamu hatuachi kuzitumia kwakuwa hazijakatazwa kwa matumizi yasiomkera Mungu. Alafu kama unaamini Yesu ni Mungu alafu mamaake unataka tumuite mama wa nani?[emoji2379] waprotestanti bana. Mmepoteana na kupotea[emoji23]
Sio tu funza we utakuwa na mabungu kichwani, maana unasoma biblia kama gazeti badala ya maandiko matakatifu, hesabu 24 8-9 hivi umeisoma kweli au umekurupuka??Utakuwa una funza kichwani. Umesoma vizuri kitabu cha hesabu 24. 8-9. Muwe mnasoma na kuelewa Mungu hajakataza sanamu wala images ila kuzipa uhai na kuamini zina nguvu zenyewe kama zenyewe. Otherwise asingetoa maelekezo inatengenezwe sanamu ya nyoka, au makerubi nk. Sisi tunajitambua hatukurupuki , hakuna mkatoliki anaabudu sanamu mzee, shauri lako. Tuna akili sana tu tena mpaka zinamiminika na sanamu hatuachi kuzitumia kwakuwa hazijakatazwa kwa matumizi yasiomkera Mungu. Alafu kama unaamini Yesu ni Mungu alafu mamaake unataka tumuite mama wa nani?🤷🏿♂️ waprotestanti bana. Mmepoteana na kupotea😂
We utakuwa na mabungu kichwani, si bure hivi biblia unaisoma kama gazeti ama??Utakuwa una funza kichwani. Umesoma vizuri kitabu cha hesabu 24. 8-9. Muwe mnasoma na kuelewa Mungu hajakataza sanamu wala images ila kuzipa uhai na kuamini zina nguvu zenyewe kama zenyewe. Otherwise asingetoa maelekezo inatengenezwe sanamu ya nyoka, au makerubi nk. Sisi tunajitambua hatukurupuki , hakuna mkatoliki anaabudu sanamu mzee, shauri lako. Tuna akili sana tu tena mpaka zinamiminika na sanamu hatuachi kuzitumia kwakuwa hazijakatazwa kwa matumizi yasiomkera Mungu. Alafu kama unaamini Yesu ni Mungu alafu mamaake unataka tumuite mama wa nani?🤷🏿♂️ waprotestanti bana. Mmepoteana na kupotea😂
Nachimbua nitakavyo au ndivo ilivyo wewe ndio hutaki, unakaza fuvu. Wakristo wote tangu mwanzo wa kanisa , nenda mashariki ya kati mpaka leo ndio imani yao, nyie wajuaji wa karne ya 19 ndio mnajikuta mnajua sana, kwanza mnasoma kipande tu cha Bibilia, vitabu sita mmeachana chana kwanzia 1500s.Jamaa unasoma Biblia halafu unachimbua utakavyo wewe, daaaaah binadamu bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu let's vifungu Kwanza naona kama unajipa mamraka ya mussaUtakuwa una funza kichwani. Umesoma vizuri kitabu cha hesabu 24. 8-9. Muwe mnasoma na kuelewa Mungu hajakataza sanamu wala images ila kuzipa uhai na kuamini zina nguvu zenyewe kama zenyewe. Otherwise asingetoa maelekezo inatengenezwe sanamu ya nyoka, au makerubi nk. Sisi tunajitambua hatukurupuki , hakuna mkatoliki anaabudu sanamu mzee, shauri lako. Tuna akili sana tu tena mpaka zinamiminika na sanamu hatuachi kuzitumia kwakuwa hazijakatazwa kwa matumizi yasiomkera Mungu. Alafu kama unaamini Yesu ni Mungu alafu mamaake unataka tumuite mama wa nani?🤷🏿♂️ waprotestanti bana. Mmepoteana na kupotea😂
Maana unachanganya bible na mambo mengine, naomba u straight kwenye kitu kimoja Neno la Mungu au history ya kanisa ili nikujibu.Nachimbua nitakavyo ndivo ilivyo wewe ndio hutaki, unakaza fuvu. Wakristo wote tangu mwanzo wa kanisa , nenda mashariki ya kati mpaka leo ndio imani yao, nyie wajuaji wa karne ya 19 ndio mnajikuta mnajua sana, kwanza mnasoma kipande tu cha Bibilia, vitabu sita mmeachana hana kwanzia 1500s
Zipo kabla ya hapo. Vifungu vichache hapo nimekupa hutaki kuelewa nakuuliza Mussa aliambiwa achonge nini? Na kama Mungu alikataza sanamu kwa nini alimwambia achonge sanamu ya nyoka? Ambayo wakiitazama wanaoona? Mpo na akili timamu au mnasoma sana conspiracy theories eti zilianza baada ya 325. Unatia aibu. Soma tena usome vizuri sana.Maana unachanganya bible na mambo mengine, naomba u straight kwenye kitu kimoja Neno la Mungu au history ya kanisa ili nikujibu.
Sanamu ziliingia baada ya mwaka 325 ndugu hapo ndipo zikaingia sanamu.