Kwanini Diamond Platnumz amemtenga mwanaye aliyezaa na Hamisa Mobetto?

Kwanini Diamond Platnumz amemtenga mwanaye aliyezaa na Hamisa Mobetto?

Kuhusu majizo usiwe na shaka labda abadilike baadae ana pre nuptial agreement,Yuko makini mnoo na mwanawe, Fantasy tayari ameshajengewa vya kwake pale alipo ana nyumba yake na Hamisa aliondolewa kwenye nyumba ya Majay baada ya kuruhusu Mondi awe anaenda kulala pale Nadhani ndo Daimond akaenda mpangishia Kule mbweni sijui bahari beach....!!!ila Mohammed Chiza kashahakikisha kajipanga vzr tue Kwa watoto wake aluowapata kabla ya ndoa vzr tu
Kuhusu kukataa Mtoto Daimond na mama wako tayari kufanya lolote Kwa ajili ya maarufu,mfano Aliweza sema Mzee Abdul sio baba yake hadharani leoo hii ht alikataa mtoto hakuna Cha kushangaa na Bado anatumia jina la Mzee Abdul na Mzee alivyo na hekima alikaa kimya akasema tu 'km Mimi sio baba Ake sawa,ila aache kutumia jina langu'kiufupi Bi Sandra ni mfano mbaya wa Single mama ana chuki mnoo na mbinafsi sana (Mungu anisamehe kama mmetuma lugha Kali)ila ndo ukweli,huyo Daimond anaogopa kumuudhi mama yake ndo maana anafata Kila asemacho hata yasiyo sahihi
Kuhusu DNA Hamisa amekubali wafnaye hadharani nchi yoyote Ile Duniani
Mtoto wako DNA ya macho tu inatosha...kuna vitu vyako baadhi atachukua kwa baba,hapo kuna shida tena kubwa,domo hawezi kukataa damu yake anajua alipotoka
 
Hamisa kakubali wakafanye DNA popote atakapo Diamond ila TU iwe Public....shida sio diamond,shida ni mama Ake ,alimkataa Zari katu katu dada wa watu alijitoa weee akatafutwa hamisa azae na Mondi Ili Zari apoe,akapoa dada wa watu akaondoka,akaja Tanasha NAE kazalishwa kaachwa kijana wa Kiislamu anazalisha zalisha hovyoo hata kuoa hataki,Akaja Alia,Mara sijui Zuchu NAE hatakiwi anafosi TU
Wema enzi hizoo Yuko na Mondi aliwahu sema hila za yule mama,haoni shida Kuna kugonga saa nane usiku chumbani Kwa mwanawe wakati kalala na mwanamke
Nuksi yule bibi yaani ana roho ya Kiburundi kabisa
Domo kwa nafasi yake hawezi kuoa leo wala kesho,hata huyo mama akifariki,wasanii wasanii huwa wanazaa hovyo...ukiona msanii anauwezo ameoa huyo ameona atulie tu...burnaboy mama yake ndio kila kitu chake,unategemea yule ataoa au ataishia kuzalisha tu
 
😁😁😁 mbona ugomvi wa ngumi umeleta panga. Calm down binti kiziwi

By the way, 2005 - 2015 kilikuwa ni kipindi ambacho nilikuwa nafuatilia sana showbiz ya Africa nzima kwa hiyo Zari nilianza kumjua kabla ya kudate na mondy, enzi hizo inasemekana ndio richest socialite in East Africa kabla ya Akothee kuja juu

Hadi Zari anafika bongo, alikuwa anakuja kwa muzamili, kitu kama hicho na alikuwa close sana na sintah,

Alipoingia kwenye mahusiano na mondy, alikuwa anambully sana Wema kwa sababu tu ya "kutokuzaa" na kucomment kwenye kila move yake kwa kuonesha she is better than her, kitu ambacho wema alikilalamikia sana. mwanamke gani mwenye decency anaweza kufanya hivyo

She tried the same thing kwa Sharon O na Fabiola, uliona reactions za waganda

Alijaribu kwa Huddah, uliona reactions za wakenya

Alijaribu kwa huyu lady wa Ghana kwenye ile show ya juzi kati hapo, uliona reactions za waghana

Ushawahi ona Waganda wakihangaika nae hata kwenye mass media, social media au hata kwa mastar wenzie wa Uganda

Ila Tanzania akifanya chochote na lolote lile, she gets away with it na anapata support na endorsements juu.. Hiyo ni love au obsession
Huh! I didn’t know if it is this serious!!!! Again, uko biased 90% Yaani uko serious kum-paint everyone as innocent isipokuwa Zari. Why? Is it personal????? Kwamba hao watu wote Zari aliamua tu kuanza kuwaatack wao wakiwa kimya wametulia, I hope this is a joke.

Bahati nzuri mimi na wewe sote hatujachelewa kuja mjini, ni hivi Diamond kuanza kudate na Zari hakuna kati yao aliyeweka wazi wenyewe waliita “Project “ Zari hakuanza “kujishaua” kama unavyojaribu kutuaminisha hapa, alikuwa normal, anadate zake mtandale bila hili wala lile. Kesi zilianza kwa timu Wema kuanza kumuattack Zari, (kumbuka timu kajala ilikuwepo) ndiyo iliyokuja kumpa Backup Zari ikatengenezwa Strong hive “Timu Zari” na watandale wakiwemo humo nadhani lengo lao lilikuwa kumrusha roho Wema, Ndipo mwanzo wa maugomvi ya haya matimu.

It was funny and games until Ilivyosemekana Zari ana mimba, kwanza kuna watu wakakataa kuwa hana mimba at first, kwa kile kilichoitwa kuwa kaka yetu Simba la masimba 😀 hana uwezo wa kushikisha mwanamke ujauzito, mimba haijifichi miezi ikaenda stori ikabadilika kuwa mimba si ya Diamond bali ya Ivan, siku hazigandi mtoto akazaliwa ikasemekana mtoto wa Ivan, zikajiunga timu ya anti Diamond wa Bongo, na anti Zari wa Uganda kudai mtoto si wa Dai ni wa Ivan, You see?

Siku zinaenda fasta, picha ya mtoto ikapostiwa ni “our very own Wema” ikabambwa comment yake mahali akiwa amecomment “Mtoto ni mbaya” na pia tunaomba DNA !!!!! We ni mwanaume sitakuuliza ungekuwa mama Tifa ungereact vipi. I hope unaona sasa Why Zari started to slap back.

Ikaenda mtoto wa pili, huyu ndio kabisa wakasema ni wa Ivan, wakati kwa ground wadada wa bongo “hao wa insta” wakaanza kumuona Diamond mcharo kutaka kumzalia (usitake nikawataja majina), hao wote akina Huddah unadhani ugomvi wao na Zari ulitokea wapi, ikiwa mwanzo walijaribu kumfriend zone Zari ili wapate access kwa mtandale, which waliipata wakalambwa Zari kama mwanamke aliyekuwa kwa mahusiano na Dai akigundua kuna mtu kanizunguka why asifight? Mbona ni kitu kinaeleweka tu vizuri. Bora ye anatukana/chamba binafsi ningemfuata kumdunda kabisa hehe 😂

Halafu comeon, Fantana? That was reality show, lazima kuwepo drama na mtu wa kuinstigate drama lazima apatikane, usiniambia hujui how these things work!

Kuhusu waganda kuhangaika nae au kutokuhangaika nae: kwanza lazima uelewe kati ya taifa lina shobo na ujinga Tz inaongoza Africa nzima, tuna muda wa kuwaintertain hawa insta celebs kwa viwango vya juu sana kiasi kwamba kila mtu akitaka umaarufu bongo inakuwa target kwake, its no different with Zari, halafu unasemaje waganda wana muignore wakati we umemjua before hajaja bongo? Nani alimpa hiyo fame kama sio hao waganda wenyewe? Ni vile tu nchi za wenzetu ziko tofauti, people are real busy, ukisikia msanii yuko mall hakuna mwenye ataenda kukusanyika kushangaa, hakuna mtu atamfata msanii AirPort kumpokea, again its no different with Zari.

Meanwhile in Bongoland, hata bodaboda wakigongana watu watajaa kushangaa, sijui nani yuko AirPort watu wataenda kumpokea, sijui msanii gani kaonekana mall watu wataacha manunuzi yao wakae kushangaa na kuomba picha, hakuna utofauti uliofanyika kwa Zari. There’s crowd for everyone in Bongoland.

Excuse my gazeti, nilikua najaribu kuweka narration kwa namna ninavyoielewa, by the way it is weekend 🥂
 
Ww lini uliona zari analipa ma it specialist kuhack na kuzifuta ig account za watu, maana hamisa alifanya hivyo kwa watoto wa zari na Diamond na mengine mengi tu.

Shida ni kuwa tu Zari huwa anakuja in public mwenyewe ila hamisa atamtumia chawa wake Mange alaf in public atasema yy huwa anakaa kimya bila kuongea
Hili hata mimi nimelisema, tatizo la Zari ni hilo tu, akichukia hajifichi, she will wage a war na kila mtu public, hajui kushikilia mdomo wake, ndio maana ubaya wake unatangazwa kila kona, to me ni mtu anayejiamini, hajifichi and she is not for the weak. Mpende akupende, mchukie akuchukie, mpige akukate panga, Fair!
 
Amejitahidi kwa mda gani? Hivi trend ya wadada wadangaji wa intagram huzijui, kwani Wema ilikuwaje na yule jamaa waIkulu,mpaka kafunguliwa kampuni ya production then ikawaje......? Wolper na yule dogo muuza Poda........? Anti nae...........?

Issue mimi hapa ninayo zungumzia continuity na discipline ambayo wadangaji hawana,husizuzuke na hiki unacho kiona leo.Kwa kifupi wandangaji maisha yao 99% ni fake na wengi hawana akili ya maisha wala nidhamu ya maisha ,sababu hawana akili ya kutafuta kwa kitumia jasho na akili.

Ukimuona binti katoboa sababu ya kudanga jua danga lilimkuta ktk harakati za utafutaji au alikuwa na idea ya biashara ila alikosa mtaji,mfano Ritha na mara nyingi huwaga sio wa kubadilisha madanga mara kwa mara. Kuna mama mmoja wa kinyakyusa ana bonge la shape,alilipata danga kwenye kamgahawa chake,leo hii yule mmama ana kampuni kubwa na mapishi ya chakula na maduka matatu ya jumla ya vinywaji

Hao niliwataja walianzisha biashara ngapi leo zipo wapi? na ndio maana maisha yao wanategemea kubadilisha madanga sababu hawana akili ya maisha,hivi huyo Hamisa duka lake la Mnyamala lipo wapi?

Point yangu wengi huwaga hawaifikiri kesho.
Sijui sana kuhusu duka lake, lakini nadhani lipo na ameliupgrade.

Kuhusu kubadilisha mabwana unamaanisha nini? Si hata huku mitaani wasichana wanadate huyu wakiachana wanadate mwingine? Kwani ni tofauti na hao celebs?

And why you are betting kuwa after umaarufu wake hatokuwa na kitu? Kama ambavyo siku hazigandi hata na yeye naona akili zake hazijaganda, licha ya kudanga anapambana pia, videals havimkosi, shout out kwa manager wake yule mkaka nadhani ni brain behind her, I believe hadi umaarufu uje kupungua atakuwa pazuri.

Kama binti amekuwa na changamoto zake, lakini considered alikotokea, hayuko pabaya by now, si ana pakuishi? Gari? Biashara? Deals? Na vingine ambavyo labda hatuvijui. Mnataka awe na nini kingine.

My point was, kiakili usimpike chungu kimoja Hamisa na hao bongo muvi wengine.
 
Ukweli tuseme mabeto kajitahidi hata dada wa taifa alimwambia zari ulivyokuwa na umri wa mabeto ulikuwa na Nini? hiyo inaitwa bariki ubarikiwe, anatembelea Nini,? kapanda jet la kukodi kulifata ndinga la haja, Sasa hivi sio yule wa kwenda ustawi wa jamii, Mara kuvuliwa wigi limetupwa kwenye pool, Sasa hivi China , dubai, USA, mtoto mdogo, wazee tupo jf tunamjadili, mungu anaweza kumuinua masikini aliye shushuka live.
Dada wa taifa lenu ni nani mi simjui, kuhusu hapo nilipobold ni kwamba, Zari akiwa umri wa Hamisa hopefully miaka 32-34 alikuwa na Mume, watoto, biashara za nguo na vito, alishaendesha magari unayoyajua wewe “most of them”, alikuwa ameshasafiri nchi mbalimbali (kama hili pia ni fanikio). Mengine yote kuhusu Hamisa, uko sahihi.

I hope utaelewa kuwa tunajadili hii mada katika mitazamo tofauti 🥂
 
Sijui sana kuhusu duka lake, lakini nadhani lipo na ameliupgrade.

Kuhusu kubadilisha mabwana unamaanisha nini? Si hata huku mitaani wasichana wanadate huyu wakiachana wanadate mwingine? Kwani ni tofauti na hao celebs?

And why you are betting kuwa after umaarufu wake hatokuwa na kitu? Kama ambavyo siku hazigandi hata na yeye naona akili zake hazijaganda, licha ya kudanga anapambana pia, videals havimkosi, shout out kwa manager wake yule mkaka nadhani ni brain behind her, I believe hadi umaarufu uje kupungua atakuwa pazuri.

Kama binti amekuwa na changamoto zake, lakini considered alikotokea, hayuko pabaya by now, si ana pakuishi? Gari? Biashara? Deals? Na vingine ambavyo labda hatuvijui. Mnataka awe na nini kingine.

My point was, kiakili usimpike chungu kimoja Hamisa na hao bongo muvi wengine.
Nilipota M/Nyamala mwaka jana,hamna duka na hamna kilichokuwa upgraded.

Mimi naangalia trend haitofautiani na hao bongo movie,ambao tunao wajua wa siku za hivi karibuni Rick Ross,Vunjabei na sasa sijui yupo na nani. Trend ni ile ile issue sio hela bali anauwezo wa kubadilisha hela kwa ajili ya future yake,Kyln yule mihela kibao ila kashindwa kutengeneza kitu cha peke yake,Madam Ritha yule one chance tena akiwa kama Mchepuko ana kampuni ya Benchmark na alinunua maeneo kibao Kigamboni ndiyo yaliyo mpatia utajiri plus Bongo Star Search,ambayo inamlipa hadi leo.
 
Diamond na hao wanawake wake wote nu tabiq moja ni wale wale.

Ila kwa kutumia akili haweza kukataa mtoto kabisa.
Hajamkataaa live ila kama kamtenga Fulani hivi haswaa baada ya mama Ake kukataa kutumika na kudhalilishwa na Ile familia
Mimi sishangai tabia za wababa wengi mkizaa au mkiachana anataka upauke uchuje uwe hovyo au akikutaka Mda wowote akupate la sivyo mtoto atapata au watoto atatafuta visingizio mpk Bado
Hamisa alikua cheap mnoo Kwa Daimond Kwa Sasa kashajitambua hataki tena kutumika kama mwanzoni Yaani Mondi alikua anamtumia halafu anamdhalilisha baada ya kukata hiyo chain ndo Sasa Vinakuma visa hvyo vyote
Hata Zari aliwahi Sema Daimond hahudumii watoto alikaa almost Mwaka mzima hawajahi enda kuwaona na kutoa matunzo Kwa wanaweza
Tanasha sio muongeaji ndo maana Yuko kimya
Kinachomtesa Diamond ni wivu anaumia kuona hamisa yule cheap aliyekua Teja wake Leo amepevuka hamtaki Tena ana maisha yake hamtumii Tena kama anavyotaka yeye na Ndo hila za wanaume zetu hizo mkiachana ukiishi maisha Yako Baasi tabu tupu anaweza asihudumie watoto kabisa ,akakubechua mradi tu vituko mgombane ndo furaha yake ilipo
 
Hivi unavyosema diamond alikuwa anamtumia hamisa unamaanisha nini?
 
Sio kweli 😂😂mwanaume kashamkojolea mwanamke ni asilimia chache sana anaweza kumrudia tena akiwa kichche kama Diamond..
Sio rahisi kumtenga mtoto wa damu chunguza hii ni asili ya binadamu ,hata ufanyaje roho itakusuta kama unajua dhahiri ni mwanao sio rahisi kumtenga kuna mengi hatuyajui yaani .

Kuna kipind alikuwa na yule doga mara ghafla kaanza kumtenga basi kuna ishu kama kumkwepa basi tangu mwanzo angemtema ...Ishu ilikuzwa baada ya watu kuhusisha na sura ya billnas ndio jamaa akaenda kupima DNA.
 
Sio kweli [emoji23][emoji23]mwanaume kashamkojolea mwanamke ni asilimia chache sana anaweza kumrudia tena akiwa kichche kama Diamond..
Sio rahisi kumtenga mtoto wa damu chunguza hii ni asili ya binadamu ,hata ufanyaje roho itakusuta kama unajua dhahiri ni mwanao sio rahisi kumtenga kuna mengi hatuyajui yaani .

Kuna kipind alikuwa na yule doga mara ghafla kaanza kumtenga basi kuna ishu kama kumkwepa basi tangu mwanzo angemtema ...Ishu ilikuzwa baada ya watu kuhusisha na sura ya billnas ndio jamaa akaenda kupima DNA.
Mimi mwanamke nna uzoefu nna nnachokisema wewe unatetea jinsia Yako
Ila hakuna watu wanaumia km mwanaume akuache halafu uishi maisha mazuri usimtegemeee au km kakuachia watoto usimtegemee kulea
Suala la kutelekeza watoto wanaume wengi ni kawaida Yao mbonaa hakuna Cha kushangaa
 
Nilipota M/Nyamala mwaka jana,hamna duka na hamna kilichokuwa upgraded.

Mimi naangalia trend haitofautiani na hao bongo movie,ambao tunao wajua wa siku za hivi karibuni Rick Ross,Vunjabei na sasa sijui yupo na nani. Trend ni ile ile issue sio hela bali anauwezo wa kubadilisha hela kwa ajili ya future yake,Kyln yule mihela kibao ila kashindwa kutengeneza kitu cha peke yake,Madam Ritha yule one chance tena akiwa kama Mchepuko ana kampuni ya Benchmark na alinunua maeneo kibao Kigamboni ndiyo yaliyo mpatia utajiri plus Bongo Star Search,ambayo inamlipa hadi leo.
Jose bwana Duka la hamisa halipo mwananyamala mbona pale mobeto toto kids aliindoa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mwanzoni lilikua Kàribu na mabatini polisi pale pale Kuna karough road kanaingia mtaa Fulani hivi brother na nadhani Sasa hv Yuko makumbusho kama sikosei

Hamisa Sasa hv sio yule wa mwanzo aliyetaka kufukuzwa kisa Hana pango ya nyumba brother anajitahidi kama nyumba anayo,gari nzuri anayo
Hata kama anadanga baasi anadanga kiakili yaani hatumpati humu wengi tu kimaisha na hata hao wadangaji wengine
 
Back
Top Bottom