Hilo linahitaji kupigiwa PA?
Yani Hawa jamaa waende Dubai na kila siku wanawasindikiza na ving'ora barabarani Kama msafara wa Rais alafu iwe burebure tu kwamba walijipeleka wenyewe?
Bahati mbaya sana tena kahojiwa mpemba!😂😂😂Sarakasi za DP world zinazidi kushika kasi.
Sawa kajitekenya na kucheka...Leak
Una akili sawa sawa? Picha umeweka wewe mwenyewe, inaonesha Kitenge yupo na watu wa DP World tena ndani ya ofisi za DP World, halafu unasema DP World wamemkimbia? Duh!
Hiyo ndiyo ukisikia unajitekenya mwenyewe unacheka mwenyewe.
Mwizi kama mnamjua siakamatwe? Au anaizidi nguvu serikali? Kwa taarifa yako wanaoipigia chapuo dpw tayari walishaseti mipango yao.Hii ni vita ya kiuchumi lakini serikali ya awamu ya sita itashinda tu. Wizi wa kutolipa kodi hapo bandarini hauna faida kwa wananchi wengi zaidi zaidi unawafaidisha matajiri wachache na marafiki zao waliokuwa viongozi wa awamu zilizopita.
GSM aliikimbia awamu ya tano, akaja kurudi alipoingia SSH ikulu, huyu hawezi kukubali kuona mteremko wake pale TPA ukienda kupotezwa na mifumo mipya ya uendeshaji.
Ni vita ya akilini zaidi lakini serikali itashinda tu.
We bibi ukinywa gongo zako kaa utulie kidogo.Mnamuonea wivu Kitenge.
Ma shaa Allah, kakwea dream liner, kapiga shopping Dubai, karudi na kibahasha kizuri cha Dirhams. Pengine folding screen ya 100" ipo kwwenye container na kigari cha kwendwa bandarini na kurudi ofisini akiwa Dar.
Ma shaa Allah, kishatengeneza na bonge la connection hapo, wapwa zake huku hawakosi kazi DP World Container Terminal.
Waarabu wakarimu sana ukishajuana nao, usifanye mchezo.
Kariakoo tunasema "hapo Kitenge kashinda game".
Nakusikitua sana kwa ujinga uliokujaa. Elewa kuwa ujinga siyo tusi, ni neno la kukujulisha kuwa kuna mambo huyaelewi na inabidi ujifunze.We bibi ukinywa gongo zako kaa utulie kidogo.
Kimuhemuhe chako hakikupeleki popote.
Acha swala lishughulkkiwe
Kisheria utapata taarifa.
Sa hii tuliza mata kroo.
Huna cha kunifundisha.Nakusikitua sana kwa ujinga uliokujaa. Elewa kuwa ujinga siyo tusi, ni neno la kukujulisha kjwa kuna mambo huyaelei na inabidi ujifunze.
Hivi wewe una ujuzi upi wabiashara za kibepari?
Tafadhali, bofya chini hapo ukajichotee dhahabu nyeusi 👇🏾
Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na...www.jamiiforums.com
Kumbe mnawafuatilia hao kina Maulid Kitenge?Maulid Kitenge na wenzie walitamba mitandaoni kuwa wanakwenda kufanya mahojiano na DP world na kuleta majibu juu ya maswali ya watanzania!
Maswali makubwa mawili yakikuwa!
1. Mkataba ni wa muda gani?
2. DP world wamewekeza kiasi gani kwenye mradi huu?
Lakini cha kushangaza wamekwenda kumuhoji mpemba sijui ni kuli au msemaji wa Dp world?
Katika mahojiano yao hakuna aliyeweza kuhoji hata nusu ya kile watanzania wanahitaji kujua…
Inawezekana watangazaji wamegharamiwa safari kuwahoji DP world lakini wahusika wakagoma hivyo wakamtuma kuli kuwawakilisha!
Ni wazi serikali imepoteza tena hela kwani kazi waliyowatuma hawa watangazaji wameshindwa kuifanya zaidi watanzania wamewaona ni kichekesho kikubwa cha duni?
Huyu Mpemba ndio msemaji wa DP World?
View attachment 2666411
Faizafoxy ni mithili ya kina Mwijaku na Baba Levo tu. Tofauti yake yeye na wao ni;Huyo ndiyo ambaye FaizaFoxy alitumia kuwalaghai vijana humu jukwaani kuwa kazungumza na mtu mzito sana DPW.
Akaleta porojo zake za kuku mwenye kideri.
Hujajibu hata swali moja nililokuuliza, hiyo tu imeshakuweka unapostahiki kuwepo.Huna cha kunifundisha.
Huu ujinga ni Chimbo la werevu hizo pesa twende tuzifuate mi na wewe zikikosekana tutajuana hukohuko.
Naunga mkono hoja yako 100%, kwa kuongezea tu, mmoja katika watu wanaosifika kuwa "wenye akili inayofanya kazi sana "super intelligent" alisema:Mama tumpe mda afanye kazi yake kama wengine walivyo pewa mda wakafanya kazi yao wamesema bandari itaongeza ufanisi mkubwa kuliko sasa ilivyo ajira zitaongezeka mapato yatongezeka nadhani mama afanye kazi yake the way anavyo ona ina faa kuleta maendeleo
Ni wajinga wanahisi DP world wapo kidini kumbe wenzao hawawazi kabisa maswala hayo wao wanawaza biasharaHili sakata ....limekuwa nguli kweli kweli....limekaa kidini pia...nmeshangaa sehem iringa Muslims wanahamasisha ujio wa DP WORLD...n nini kipo nyuma ya pazia?
Tena ni vizuri kabisa kufanya hivyo. Ili mjiridhishe.Sawa kajitekenya na kucheka...
Hao DPW wamesemaje kwani??
Je, kwako ni sahihi kwa media ya kitanzania kupewa promo tour ya kwenda kuhoji mshindani na mbia mtarajiwa?
Somethings just can't be right!
Iringa ndipo ilizaliwa BakwataHili sakata ....limekuwa nguli kweli kweli....limekaa kidini pia...nmeshangaa sehem iringa Muslims wanahamasisha ujio wa DP WORLD...n nini kipo nyuma ya pazia?