kingkimwe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,839
- 2,481
Hilo linahitaji kupigiwa PA?
Yani Hawa jamaa waende Dubai na kila siku wanawasindikiza na ving'ora barabarani Kama msafara wa Rais alafu iwe burebure tu kwamba walijipeleka wenyewe?
We jamaa bhana !!!hao Huon ka ni chawa huon maswali wanayouliza ya kichawachawa huon kua wanauliza kishabikshabik huon ka wanatukejer wananchi hawajatumwa kuuliza maswal magum wala kuleta majib yaliyonyooka wamekwenda kuwapalilia DP