Kwanini Erick Hamissi alifutwa kazi bandarini?

Tanzania haiendeshwi kwa wanasheria, kuna mifumo kamili ya usalama.


Kinachotakiwa ni ukweli. Siyo porojo za mitandaoni.

Kama unaujuwa ukweli, jitokeze uoneshe huo mkataba uko wapi?
 
Tanzania haiendeshwi kwa wansheria, kuna mifumo kamili ya usalama.


Kinachotakiwa ni ukweli. Siyo porojo za mitandaoni.

Kama unaujuwa ukweli, jitokeze uoneshe huo mkataba uko wapi?
😄😄😄😄Ujitokeze ufichweee na kiherehere chako
 
Eric Hamissi alikuwa mhanga namba moja wa uhaini wa Samia kwa nchi yetu, hili lilishajulikana siku nyingi .
 
Tanzania haiendeshwi kwa wansheria, kuna mifumo kamili ya usalama.


Kinachotakiwa ni ukweli. Siyo porojo za mitandaoni.

Kama unaujuwa ukweli, jitokeze uoneshe huo mkataba uko wapi?
Wewe bado hujaiona nyaraka ya "Makubaliano"?

Kwa nini kila mara unakimbilia "Mkataba" wakati unajua kinachosemwa hapa ni kitu gani?

Ukishajua "Makubaliano" yanavyohusiana na "Mkataba" njoo hapa utoe maoni yake juu ya hilo.
 
Mkuu 'Jagina', mbona haya ungeyawasilisha CCM ingependeza sana, maana ndio wahusika, na Mwenyekiti wake sasa hivi ni mtu anayejulikana kwa jina la Samia Suluhu Hassan.

Ukimfikishia huyu ujumbe wako, mhimize afanye kweli ili adha zote hizo ulizozitaja muondokane nazo.

Huyu sasa hivi anao uwezo kamili wa kuwaachia muwe huru kabisa.
 
JK alikuwa na nia mbaya na hili taifa, yule mtu muda wote anatabasamu tu, ujue nyuma ya hilo tabasamu lake kuna siri mbaya na sura mbaya kama shetani.
Lakini hujaeleza alivyo tofauti na Samia katika sifa hizo ulizozitaja hapo! Hii ingesaidia kidogo kuwaelewa hawa viongozi wawili.
 
Uwezo Huo ulimpa wewe? Kuwapa DP kuendesha bandari kwa faida yenu mnapiga kelele , wengine kutaka hata auawe, Itakuwa ngawira yenu hii Zanzibar mliyoipata kwa kuuwa maelfu ya watu iwatoke kirahisi, na Kardinali wenu Pengo alishawaambie muulinde muungano kwa hali yoyote kwani mumepewa jukumu hilo na huyo mnayesema ni mungu Yesu ?
 
Aaah!
Naona tatizo lako huenda si hilo la kutaka uhuru wenu, maana naona unakazania sana huyo 'Pengo' ambaye mimi simjui kuwa aliwahi kushika madaraka yoyote ya serikali.

Samia wakati huu ndiye mtu sahihi kabisa wa kulimaliza tatizo hili lililowakabili kwa muda mrefu.

Huyu Samia ndiye mkuu wa majeshi yote ya nchi hii kama hulijui hilo, nikukumbushe.

Kama mkishindwa kutumia nafasi hii vizuri ili mjikomboe, msimlaumu tena mtumwingine mkiendelea kunyanyasika kama unavyoeleza wewe.

Usibadili lengo, na kutafuta wa kumlaumu, ambaye yeye hana madaraka yoyote ya kuwaachia toka kwenye makucha ya uonevu.
 

Hayo unayaona wewe kwani huoni namna kanisa lilikaza mishipa ya koo kutaka bandari isikodishwe ??

soma hii article

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
 
LOOoooh!

Kumbe ndivyo hivyo mkuu wangu 'jagi'?

Hawa watu uliowaweka hapa wanalo jeshi kushinda alilonalo Samia kweli?

Kwa nini unakuwa na ubishi usiokuwa na maana?

Kwanza kumbe unaleta taarifa za uongo, nimeangalia huko unakosema 'Pengo' yupo, kumbe hayupo. Hii taarifa umeitoa wapi?

Hata kama habari yako hii ingekuwa ni ya kweli nchi nzima ya Zanzibar itashindwa vipi kuwashughulikia hawa wahuni wachache wanaowaonea huko visiwani na kuwaua?

Usikimbie ukweli kwamba sasa hivi ndiyo mnayo nafasi nzuri kabisa ya kuondokana na hii adha ya akina Pengo. Zungumzeni tu vizuri na Samia amalize kazi.
 


Tulia upate dawa nilijuwa utakuja huko , kwani Pengo alipata wapi ujasiri wa kuwaambia hivyo ??

YOTE YALIANZIA HUKU


 
Tulia upate dawa nilijuwa utakuja huko , kwani Pengo alipata wapi ujasiri wa kuwaambia hivyo ??

YOTE YALIANZIA HUKU


haya matakataka hapa tena ni ya nini, mbona unatoka nje ya mjadala na kuugeuza kuwa mwingine?

Mimi ninakusaidia tu kukuhimiza kwamba Samia sasa ndiye mkuu, anao uwezo wote wa kuwaondolea matatizo yanayowasumbua na hao akina Pengo ambao mimi siwajui uhusika wao na hali yenu unatokea wapi.

Kama huna jipya kuhusu hilo, ninakuomba usinipotezee muda wangu bure hapa.
 
Wewe unaona ni takataka kwa sababu hutaki kuujua ukweli na unajifanya eti nakupotezea muda haya kaungane na mapadri wako akina Slaa kupinga bandari isikodishwe , lakini sorry mumechelewa
 
Wewe unaona ni takataka kwa sababu hutaki kuujua ukweli na unajifanya eti nakupotezea muda haya kaungane na mapadri wako akina Slaa kupinga bandari isikodishwe , lakini sorry mumechelewa
Mbona unaingiza mambo tofauti tofauti katika mjadala ulio wazi kabisa?
Tunazungumzia uhuru wa Zanzibar hapa, hayo mengine unayaingiza ya nini?

Nilikuwa ninakubaliana na wewe moja kwa moja, kuhusu matatizo chungu nzima mnayofanyiwa huko visiwani, nikapendekeza njia sahihi kabisa ya kulimaliza hilo tatizo moja kwa moja sasa hivi.
Badala yake wewe unakuja na mambo tofauti kabisa na hilo, kwa nini?
 

Of course utaona tofauti kwani hata hujasikiliza hata clip moja , umefyatuka kama risasi unasema haya mambo hayahusu mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…