FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Tanzania haiendeshwi kwa wanasheria, kuna mifumo kamili ya usalama.Naam. Ukiwa mnyoofu hauwezi kudumu kwenye mfumo wa kifisadi, utaonekana 'kikwazo' tu.
Yaani mpaka aibu. Kuna mwanasheria mmoja uchwara anamdanganya kweli rais kuhusu bandari, na bahati mbaya amemwamini kuliko hata AG.
Sasa ameshalikoroga, 2025 ilikuwa mteremko kwake lakini kajitengenezea mlima mkali pasipo na sababu za msingi.
Kinachotakiwa ni ukweli. Siyo porojo za mitandaoni.
Kama unaujuwa ukweli, jitokeze uoneshe huo mkataba uko wapi?