Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Thoughtless...ama watuhumiwa wote wafungwe pingu.
..au watuhumiwa wote wasifungwe pingu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thoughtless...ama watuhumiwa wote wafungwe pingu.
..au watuhumiwa wote wasifungwe pingu...
Hii kesi inaiabisha serikali..angalieni video hapo chini?
..kwanini Mbowe hafungwi pingu?..
Wakina kingai walivyo wapuuzi tangu wameanza kutoa ushahidi wanaelezea tu harakati za kuwakamata makomandoo, lakini hakuna hata siku moja waliyowahi kueleza tuko hata moja la ugaidi ambalo limewahi kufanywa na hao miamba.Mpaka sasa hakuna shahidi aliyethibitisha kuwa Mbowe ni gaidi
Wakina kingai walivyo wapuuzi tangu wameanza kutoa ushahidi wanaelezea tu harakati za kuwakamata makomandoo, lakini hakuna hata siku moja waliyowahi kueleza tuko hata moja la ugaidi ambalo limewahi kufanywa na hao miamba.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hiyo ni tofauti ya kamanda na komandoo.
Naiona logic kwenye maelezo yako hapa mkuu DamperMbowe ni rahisi kumdhibiti kuliko hao komandoo.
wakiamua kulianzisha kwenye umati wa watu pale mahakamani, inaweza sababisha tatizo kubwa kwa raia wengine.
😅😅😅😅jamaa wewe umenichekesha sana.Alitaka wafanane ama wawe wakikutana Ilala kwenye mitumba au kwenye mataputapu na miguu ya kuku Manzese
Na mara tu pingamizi juu ya ushahidi huo wa huyo mmoja kukiri likipita mahakamani, kesi yote inayeyuka. Ndiyo maana hata jaji anapata taabu sana kukubali mapingamizi hayo...Nadhani upande wa mashtaka wamejenga kesi yao sio kwenye tukio, bali kwenye confession wanayodai ilitolewa na mmoja wa watuhumiwa.
..wanadai mmoja wa watuhumiwa alikiri kuwepo kwa njama za ugaid...
Mabilionea hawafungwi pingu.Naiona logic kwenye maelezo yako hapa mkuu Damper
Maelezo yanayoletwa kama confession yanatia mashaka. Kuanzia namna walivyokamatwa, walivyohojiwa na kuchukuliwa maelezo. Hizi ndio pillars za ku assess kama maelezo yanayosemwa ni confession kama ni real confession??Na mara tu pingamizi juu ya ushahidi huo wa huyo mmoja kukiri likipita mahakamani, kesi yote inayeyuka. Ndiyo maana hata jaji anapata taabu sana kukubali mapingamizi hayo.
Ni hivyo hivyo na wakati ule wa jaji aliyepewa rushwa, angekubaliana na utetezi tu, kesi ingekuwa imekwisha wakati huu.
Hahaha!!! Hata kama kama kesi ni ndogo aicee...jalibu pita huko mahakama za mwanzo ndo utashangaa kesi zenyewe wangeachwa waelewane ila sasa anavyoletwa mtuhumiwa unaweza shangaa huo ubabe wa wajomba, anyway ngoja advocate waende tu na huko.Mabilionea hawafungwi pingu.
Sasa nenda wewe chumia tumbo uone Unafungwa miguuni ma hapo hapo mashati yenu yanapigwa fundo
We acha tu. Wajomba wenyewe stress tupu wakikushika utajuta.Hahaha!!! Hata kama kama kesi ni ndogo aicee...jalibu pita huko mahakama za mwanzo ndo utashangaa kesi zenyewe wangeachwa waelewane ila sasa anavyoletwa mtuhumiwa unaweza shangaa huo ubabe wa wajomba, anyway ngoja advocate waende tu na huko.
#Nimewahi onja fujo zao enzi za chuo huko iringa mitaa ya semtema b wakat nipo tumain aicee eti uzurulaji mida yenyewe SAA tano kumbe wapo doria ucku niliingizwa kwenye difenda kama jambaz nikajitetea natoka kwa mwenzang wa off campus jamaa hawakuelewa na jomba mmoja tunasoma nae ni mwenzao ila akapitiliza tulipofka iringa central akazuga hajaniona huwez amin nililala ndani aice had asubuh.We acha tu. Wajomba wenyewe stress tupu wakikushika utajuta.
Duuh alijifanya hakujui?#Nimewahi onja fujo zao enzi za chuo huko iringa mitaa ya semtema b wakat nipo tumain aicee eti uzurulaji mida yenyewe SAA tano kumbe wapo doria ucku niliingizwa kwenye difenda kama jambaz nikajitetea natoka kwa mwenzang wa off campus jamaa hawakuelewa na jomba mmoja tunasoma nae ni mwenzao ila akapitiliza tulipofka iringa central akazuga hajaniona huwez amin nililala ndani aice had asubuh.
#Urafiki na kujuana uliishia hapo hapo.
Mkuu hao "wanyonge" hizo ndio akili zao. Wametawaliwa wivu na roho mbaya😅😅😅😅jamaa wewe umenichekesha sana.
Anasahau mabilionea huwa hawafingwi pingu
Nadhani hata jkt hakwenda kwa hiyo kumdhibiti ni sawa na kushika kifaranga cha kuku. Hao wengine issue ya Tamim komandoo bado tunaikumbuka.Mbowe ni rahisi kumdhibiti kuliko hao komandoo.
Una akili sana mkuu. Kuna watu hawakuelewi na watachelewa sana kukuelewa. Wewe ndiye aina ya Great Thinkers. Endelea kuwapa maswali yanayofikirisha labda watakuelewa...Na hapo ndio umeniongezea pointi.
..kama Polisi wanadai Mbowe alitoroka nchini basi hiyo ni sababu tosha ya kumfunga pingu ili asitoroke tena.
..wale washtakiwa wengine Polisi wanadai waliwakamata bila resistance yoyote, na wametoa maelezo ya kukiri makosa kwa hiyari bila kulazimishwa.
..Katika mazingira hayo kwanini Mbowe ambaye ni mtoro na mtukutu hana pingu, na watuhumiwa waliotoa ushirikiano tangu mwanzo wana pingu?
Kwa hiyo tuna huruma na gaidi ambaye IGP ametuthibitishia kwamba kuna ushahidi usiotia shaka, na mkuu wa nchi alilisemea hilo. Huruma ya nini kwa gaidi? Afungwe pingu kama wengine, na hasa ukichukulia yeye ndiye mfadhiri mkuu wa huo ugaidi.Limejibiwa kuwa yeye ana kisukari na ikitokea akapata kidonda hali inaweza kuwa mbaya!!