Kwanini Freeman Mbowe hafungwi pingu kama washtakiwa wenzake? Yeye si ndio kinara, sponsor, na mastermind wa tuhuma zao?

Kwanini Freeman Mbowe hafungwi pingu kama washtakiwa wenzake? Yeye si ndio kinara, sponsor, na mastermind wa tuhuma zao?

Huwezi kumfunga pingu Waziri mkuu ajae baada ya katiba mpya kupatikana!!!Idara ya kijasusi inajua umuhimu wa Mbowe!watamlinda dhidi ya udhalimu wowote ule!!!Hasa siasa uchwara za ccm!!!
 
Wakina kingai walivyo wapuuzi tangu wameanza kutoa ushahidi wanaelezea tu harakati za kuwakamata makomandoo, lakini hakuna hata siku moja waliyowahi kueleza tuko hata moja la ugaidi ambalo limewahi kufanywa na hao miamba.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

..Nadhani upande wa mashtaka wamejenga kesi yao sio kwenye tukio, bali kwenye confession wanayodai ilitolewa na mmoja wa watuhumiwa.

..wanadai mmoja wa watuhumiwa alikiri kuwepo kwa njama za ugaidi.

..sasa wao wamejielekeza kuonyesha kwamba waliwakamata watuhumiwa kwa kuzingatia sheria na taratibu, pamoja na kuithibitishia mahakama kwamba mtuhumiwa alikiri makosa bila kushinikizwa.

..Naamini huo ndio mkakati wa serikali kuwatia hatiani Mbowe na wenzake.

Cc The Palm Tree, Kalamu1
 
Mbowe ni rahisi kumdhibiti kuliko hao komandoo.

wakiamua kulianzisha kwenye umati wa watu pale mahakamani, inaweza sababisha tatizo kubwa kwa raia wengine.
Naiona logic kwenye maelezo yako hapa mkuu Damper
 
..Nadhani upande wa mashtaka wamejenga kesi yao sio kwenye tukio, bali kwenye confession wanayodai ilitolewa na mmoja wa watuhumiwa.

..wanadai mmoja wa watuhumiwa alikiri kuwepo kwa njama za ugaid...
Na mara tu pingamizi juu ya ushahidi huo wa huyo mmoja kukiri likipita mahakamani, kesi yote inayeyuka. Ndiyo maana hata jaji anapata taabu sana kukubali mapingamizi hayo.

Ni hivyo hivyo na wakati ule wa jaji aliyepewa rushwa, angekubaliana na utetezi tu, kesi ingekuwa imekwisha wakati huu.
 
Maelezo yanayoletwa kama confession yanatia mashaka. Kuanzia namna walivyokamatwa, walivyohojiwa na kuchukuliwa maelezo. Hizi ndio pillars za ku assess kama maelezo yanayosemwa ni confession kama ni real confession??
 
Mabilionea hawafungwi pingu.

Sasa nenda wewe chumia tumbo uone Unafungwa miguuni ma hapo hapo mashati yenu yanapigwa fundo
Hahaha!!! Hata kama kama kesi ni ndogo aicee...jalibu pita huko mahakama za mwanzo ndo utashangaa kesi zenyewe wangeachwa waelewane ila sasa anavyoletwa mtuhumiwa unaweza shangaa huo ubabe wa wajomba, anyway ngoja advocate waende tu na huko.
 
We acha tu. Wajomba wenyewe stress tupu wakikushika utajuta.
 
We acha tu. Wajomba wenyewe stress tupu wakikushika utajuta.
#Nimewahi onja fujo zao enzi za chuo huko iringa mitaa ya semtema b wakat nipo tumain aicee eti uzurulaji mida yenyewe SAA tano kumbe wapo doria ucku niliingizwa kwenye difenda kama jambaz nikajitetea natoka kwa mwenzang wa off campus jamaa hawakuelewa na jomba mmoja tunasoma nae ni mwenzao ila akapitiliza tulipofka iringa central akazuga hajaniona huwez amin nililala ndani aice had asubuh.
#Urafiki na kujuana uliishia hapo hapo.
 
Duuh alijifanya hakujui?
 
..Na hapo ndio umeniongezea pointi.

..kama Polisi wanadai Mbowe alitoroka nchini basi hiyo ni sababu tosha ya kumfunga pingu ili asitoroke tena.

..wale washtakiwa wengine Polisi wanadai waliwakamata bila resistance yoyote, na wametoa maelezo ya kukiri makosa kwa hiyari bila kulazimishwa.

..Katika mazingira hayo kwanini Mbowe ambaye ni mtoro na mtukutu hana pingu, na watuhumiwa waliotoa ushirikiano tangu mwanzo wana pingu?
Una akili sana mkuu. Kuna watu hawakuelewi na watachelewa sana kukuelewa. Wewe ndiye aina ya Great Thinkers. Endelea kuwapa maswali yanayofikirisha labda watakuelewa.
 
Limejibiwa kuwa yeye ana kisukari na ikitokea akapata kidonda hali inaweza kuwa mbaya!!
Kwa hiyo tuna huruma na gaidi ambaye IGP ametuthibitishia kwamba kuna ushahidi usiotia shaka, na mkuu wa nchi alilisemea hilo. Huruma ya nini kwa gaidi? Afungwe pingu kama wengine, na hasa ukichukulia yeye ndiye mfadhiri mkuu wa huo ugaidi.
 
Back
Top Bottom