DOKEZO Kwanini fremu Dodoma zinafungwa sana na biashara kufa kila uchwao?

DOKEZO Kwanini fremu Dodoma zinafungwa sana na biashara kufa kila uchwao?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ninachokiona mimi kwa Dodoma wafanya biashara wanauza bei ya vitu kwa double price, hiyo inapelekea watu kuamua kuagiza mahitaji ya vitu kutoka DSM. Lakini pia Dodoma hakuna vitu vingi (varities) hivyo still watu wanaenda kuagiza vitu Dar. Nadhani hizo ni miongoni mwa sababu
Kuna sehemu niliulizia mkanda wa kuvalia suruali nikaambuwa 150k na 200k
 
Nimeona niongelee changamoto kwa upande wg
Sawa boss ila changamoto ndio sehemu ya maisha
Ingawaje kama kuna hilo tatizo sirikali ibatakiwa ifanye jambo
Maana kufungwa maduka kawaida ila kuja level flan ikifikia ule ukawaida unaondoka na inakua janga
Sasa sijajua kwa huko dom zafungwa kikawaida ama imeishafikia tayari kwa naqba(janga)
 
Siku zote huwezi lazimisha kujenga nchi.
Nchi hujengwa na watu kwa kufanya biashara. Maendeleo ya Dodoma ni ya kulazimisha.
SGR ikianza na ikawa na ratiba nzuri, hapo Dodoma itaumia zaidi
 
Sawa boss ila changamoto ndio sehemu ya maisha
Ingawaje kama kuna hilo tatizo sirikali ibatakiwa ifanye jambo
Maana kufungwa maduka kawaida ila kuja level flan ikifikia ule ukawaida unaondoka na inakua janga
Sasa sijajua kwa huko dom zafungwa kikawaida ama imeishafikia tayari kwa naqba(janga)
Ndio nashangaa hapo
 
Back
Top Bottom