george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,023
- Thread starter
- #61
Wa kawaida tuUnaongelea mawaziri sio au na watu wakawaida?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kawaida tuUnaongelea mawaziri sio au na watu wakawaida?
Ni mji mkuuDodoma sio mji wa biashara kama watu walivyo aminishwa na magufuli
Mbona mkuu unacomment kimwamba sana?Hivi wewe...hyo mbona bei ya kawaida sana...kama unafanya biashara lakin...tena unaambiwa ulipie kwa miaka miwil...na ukishindwa tuu siku tatu nyingi inapata mteja harqka sana...NB: location mara nyingi ni towns...lakin kwa laki saba ni kawaida haswa..
Uza mchele jumla na reje toa shamba.
Ngano, Sukari na mafuta toa Dar kwenye mastoo ya wahindi waletee Wagogo uza chee kidogo kwa bei inayotembea sokoni.
Sabuni za miche na unga za kutosha jumla na rejareja
Malizia na Maji na vinywaji vya kutosha huu mji maji ni chumvi
Umekuja na mumeo au uko pekee?Nipo dodoma kikazi ila ninachojionea ni balaa ,
Fremu nyingi zinafungwa na watu wameshindwa biashara,
Najiuliza tatizo ni nini , Nilijaribu kuuliza baadhi ya wadau , wengi wameniambia Cha kwanza bei za fremu ,
Utakuta fremu dodoma Hadi laki 7 ukija hizo Kodi za kufanya biashara mji huu ni utitiri wa Kodi , ambazo hazina kichwa wala miguu
Naomba viongozi wa Jiji la dodoma fatilieni hili swala , Pana haha Gani mtu alipe TBS ,tra, mzani , bibi afya, usafi , mzani ,mlinzi,fire,
Jamani uongozi wa Jiji la DODOMA mnaumiza wafanyabiashara ,
Naomba wenye mamlaka ingilieni kati,
Hii inafanya bidhaa dodoma kuwa kubwaa mno , inafanya watu kuishi dodoma ni changamoto
Sasa turudi nyuma kwenye hizo familia za wafanyabiashara ni lazima kuna mwana familia wa kwanza kabisa kuanza kufanya biashara kisha ndio wengine wakafuatia. Hoja yako haina mashiko.Mkiambiwa biashara ni mfumo mnabisha...biashara sio ya kila mtu...yaan unakuta familia nzima hamjawah fanya biashara afu unajipendekeza lazima uchochore haswa...
[emoji3][emoji3]Sema Baba, Na mtoa post aseme ni mitaa ipi Dodoma watu wanafunga frem.Hivi kwel kodi ya laki saba ndio unatupigia makelele humu...ww sio mfanyabiashara ni bora ukae kimya....hao ni machinga...unajua maana ya kilemba ww..?
Ukiweza kulipa kodi 700k basi lazima mtaji pia utakua mkubwa sana.. si chini ya 50M. Alafu pia mfanyabiashara siku anataka aonewe huruma apige faida nyingi.Laki saba kwa mzungo gani wa biashara ,
700000/30= 23,333.33
Kwa siku lazima aweke 23,334 kwa ajili ya Kodi.
Alipe Kodi TRA
Alipe umeme
Alipe ushuru
Alipe usafiri per day
Ili biashara iwe vizuri lazima uwe na uwezo wa kupata faida laki moja na nusu kwa siku hafu ukitoa gharama zote hapo ubaki na hata 50000 kama net profit per day. Hapo biashara itasonga .
Tafuta capital kauze kwa bei ndogo.. utakuja nishukuru kaka!Dom sio mji wa biashara,
Ila wafanyabiashara wa Dom wanajiua wenyewe kwa bei kuuubwa
Varities = varieties. Congratulations my brother. You really have a calling in BROKEN ENGLISHNinachokiona mimi kwa Dodoma wafanya biashara wanauza bei ya vitu kwa double price, hiyo inapelekea watu kuamua kuagiza mahitaji ya vitu kutoka DSM. Lakini pia Dodoma hakuna vitu vingi (varities) hivyo still watu wanaenda kuagiza vitu Dar. Nadhani hizo ni miongoni mwa sababu
Kwani Magu aliwahi kusema Dom ni mji wa biashara?Dodoma sio mji wa biashara kama watu walivyo aminishwa na magufuli
sasa dodoma ni pakuweka frem kwa shilingi laki saba?Nipo dodoma kikazi ila ninachojionea ni balaa ,
Fremu nyingi zinafungwa na watu wameshindwa biashara,
Najiuliza tatizo ni nini , Nilijaribu kuuliza baadhi ya wadau , wengi wameniambia Cha kwanza bei za fremu ,
Utakuta fremu dodoma Hadi laki 7 ukija hizo Kodi za kufanya biashara mji huu ni utitiri wa Kodi , ambazo hazina kichwa wala miguu
Naomba viongozi wa Jiji la dodoma fatilieni hili swala , Pana haha Gani mtu alipe TBS ,tra, mzani , bibi afya, usafi , mzani ,mlinzi,fire,
Jamani uongozi wa Jiji la DODOMA mnaumiza wafanyabiashara ,
Naomba wenye mamlaka ingilieni kati,
Hii inafanya bidhaa dodoma kuwa kubwaa mno , inafanya watu kuishi dodoma ni changamoto
Ufafanuzi kidogo, Hapo kwenye ngono tunawekezaje?Biashara inayolipa huko ni ya pombe na ngono tu
Wekezeni huko
Ova
Siyo Dodoma tu ni Nchi nzimaNipo dodoma kikazi ila ninachojionea ni balaa ,