Kwanini French speaking African nations ndio zina vita tu?

Rwanda,Burundi na Congo zilitawaliwa na waBelgiji.Any way mkoloni aliwawekea msingi wa kuwafanya wachukiane wao kwa wao ili awatawale vizuri,mfano tutsi na hutu
Hapo issue siyo koloni, bali lugha inayotumika ya taifa husika. Katofautisha French speaking and non French speaking.
 
Hapo issue siyo koloni, bali lugha inayotumika ya taifa husika. Katofautisha French speaking and non French speaking.
Wewe nawe ,unafikiri waliongea tu French bila kuwa colonized.Tatizo huwa hamfikirii outside the box.Kolonie ni issue maana ndo msingi wa wao kuongea French. Mfyuuuuu mpo vilaza sana.
 
9-Niger pia ni french. Hata ukisoma chanzo cha vita ya vietnam mchokozi alikuwa ufaransa, mmarekani akajinunulia kesi akajiingiza ili kuitunishia msuli urusi.

french ni stupid sana
 
Mtoa mada alisema French speaking nations.
Nadhani alimaanisha Ufaransa either alitawala au hakutawala alitumia huo mwanya wa lugha kupenya na kufanya uhuni
Sasa lugha kama lugha inakuwaje sababu?Ndo maana mimi nimekwenda deep zaidi nikasema wafaransa na binamu zao wabelgiji ndo sababu ,the way walivyoeneza ukoloni,na the way walivyoendelea kuwa nao baada ya ukoloni. Refer kifo cha Sankara na cha Lumumba.
 
Hapo tupo pamoja kwa umoja
 
Hapo tupo pamoja kwa umoja
 
Hapo tupo pamoja kwa umoja
Ila pia Ujue ,wananchi nao wana kosa la kukubali hili.Hasa viongozi wanaokubali kutumiwa ,refer Blaise Compaore alivyomsaliti Sankara, baada ya FranΓ§ois Miterand kumshindwa kabisa Sankara na ikabidi amtumie Blaise kumeliminate Sankara.Pia Mobotu alivyotumiwa na wa belge kumeliminate Lumumba
 
Gabon , French speaking


 
Uzi wako unaishi[emoji4]
 
French speaking?

 
Mayote Island

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…