Kwanini French speaking African nations ndio zina vita tu?

 
 

Nilikuwa sijaisoma hii
Asante Boss
Naona hata huko madini kibao na Kagame kanusa fursa na kaipata
Sisi tulikuwa tunasaidia mataifa kujikomboa ila jamaa ana tactic za wazungu naona
Kweli kila mmoja ana maoni yake
Ila yanatoendelea dunia ya leo lazima uangalie na kujiuliza maswali mengi sana na kusoma mengi
 
Mjerumani aliendekeza tamaa.
Angekaa Tz mpka uhuru angetengeneza vitu vikubwa mno.
Yawezekana tungekuwa developed kuliko taifa lolote Africa.
Tungekuwa Germany speaking country
[emoji848][emoji848][emoji848]nimekuelewa mkuu!
 
Hata zilizotawaliwa Na mreno ni yaleyale tu !
 
Tengeneza vurugu, mauwaji, chukuwa mali, uza silaa, chukuwa madini.
 
French Embassy > Adolph > Gaidi > Mozambique > Total > French company > Sirro > Majeshi yapo Msumbiji > Oil and Gas 😂😂😂😂😂, ukiwa na akili raha sana 😂😂😂🤣🤣🤣, NB: Sitaki majojiano yeyote 🤣🤣🤣
 
Eti unasema Somalia?!
 
 
Itoe Mozambique usawa huu
 
Na kweli,ona sasa Afghanistan wamebaki wenyewe,ila subiri uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…