Personally namwelewa japo pia simskilizi sana ila naona yuko vizurisikuhiz anafanya vizur ameweza kujibrand afu pia nadhani kazi ya utangazaji inambana tena alivyohamia kipind cha the cruise ambacho wasikilizaji wake n wachache compared na alivyokua planet bongo
Nimeshalicheck sana kitambo tangu bado yupo planet bongo kabla ajaenda The Crewz!!La muda mkuu ila lina viewers 60000 tu
Kabsa yaan kama stella mwangi kila kituAlafu sio yeye tu karibia watangazaji wote wa Tanzania wanaofanya Rap wako underrated nafikiri sababu ya kuwazoea sana kuwasikiliza hivyo hata akitoa ngoma kali hautaona maajabu maana flow anazopitanazo ndo zile zile anazotumia kwenye kutangaza.
Refer ADAM MCHOMVU, SAM MISAGO
Alafu pia Identity yake tayari kuna mtu anam-represent, STELLA MWANGI. Hivyo ajitahidi sana awe tofauti na yule rapper wa kenya.
Usijidanganye the cruise ina listeners kibao nikiwapo mimisikuhiz anafanya vizur ameweza kujibrand afu pia nadhani kazi ya utangazaji inambana tena alivyohamia kipind cha the cruise ambacho wasikilizaji wake n wachache compared na alivyokua planet bongo
but huwez linganisha na planet bongo
Mmh.. Kuna kitu hapa si bureYuko OVERRATED sana na sio UNDERRATED hata hapo alipo ameforce sana,analazimisha muziki ila rap haimpendi,ana mistari ya kitoto,flow mbovu ile ya miaka 1997-2000.Ajipange sawa sawa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi ya Amber RuttyAfanye kituko kimoja atakua juu zaidi ya gigi mane
Beat katengeneza slimsal ambaye nayeye ni underrated rapper hapa tz.Hili Pini la Frida nimelikubali kinoma na aliyetengeneza Beat big up sana!!! When I pulled up na Ma snitch inakuwa NGESE.
Alishakukatalia kufanya naye kazi?Naona ni suala la kimfumo ndio lina shida maana kuna selectiveness ukitaka kufanya nae kazi