Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Huyu ni mtangazaji wa EA pia ni raper wa kike, ila ninaona kama watu hawampi attention anayostahili.
Personally namuona mkali tu na ukitaja maraper wa kike Tanzania ninaona naye anafaa kuwa walau sehemu flani.
WHY is she underated? Au kwakuwa ni radio presenter kama Mchomvu ambaye pia nyimbo zake huwa hazisambai? (Japo huwa Mchomvu hata mimi simkubali, naungana na marehemu Ruge kusema hajui kuimba)