Kwanini Frida Amani yuko underated?

Kwanini Frida Amani yuko underated?

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Huyu ni mtangazaji wa EA pia ni raper wa kike, ila ninaona kama watu hawampi attention anayostahili.

Personally namuona mkali tu na ukitaja maraper wa kike Tanzania ninaona naye anafaa kuwa walau sehemu flani.

WHY is she underated? Au kwakuwa ni radio presenter kama Mchomvu ambaye pia nyimbo zake huwa hazisambai? (Japo huwa Mchomvu hata mimi simkubali, naungana na marehemu Ruge kusema hajui kuimba)

sikuhiz anafanya vizur ameweza kujibrand afu pia nadhani kazi ya utangazaji inambana tena alivyohamia kipind cha the cruise ambacho wasikilizaji wake n wachache compared na alivyokua planet bongo
 
sikuhiz anafanya vizur ameweza kujibrand afu pia nadhani kazi ya utangazaji inambana tena alivyohamia kipind cha the cruise ambacho wasikilizaji wake n wachache compared na alivyokua planet bongo
Personally namwelewa japo pia simskilizi sana ila naona yuko vizuri
 
Hili Pini la Frida nimelikubali kinoma na aliyetengeneza Beat big up sana!!! When I pulled up na Ma snitch inakuwa NGESE.
 
Alafu sio yeye tu karibia watangazaji wote wa Tanzania wanaofanya Rap wako underrated nafikiri sababu ya kuwazoea sana kuwasikiliza hivyo hata akitoa ngoma kali hautaona maajabu maana flow anazopitanazo ndo zile zile anazotumia kwenye kutangaza.

Refer ADAM MCHOMVU, SAM MISAGO

Alafu pia Identity yake tayari kuna mtu anam-represent, STELLA MWANGI. Hivyo ajitahidi sana awe tofauti na yule rapper wa kenya.
 
Kabsa yaan kama stella mwangi kila kitu

yess BiShoo haswaaAaa
 
Usijidanganye the cruise ina listeners kibao nikiwapo mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
but huwez linganisha na planet bongo
kwa sabab mda huo n rahis sana kukuta kwenye daladala na mwendokasi ikiwa on air so hapo wasikilizaji wake lazima wawe wengi
but the cruise had uwe fan wa hicho kipnd ndo uta tune mda huo kuisikiliza.
nawasilisha
 
Afanye kituko kimoja atakua juu zaidi ya gigi mane
 
Nimekapenda kabayaaa kenyewe hakana shida na mtu
 
Naona ni suala la kimfumo ndio lina shida maana kuna selectiveness ukitaka kufanya nae kazi
 
Hili Pini la Frida nimelikubali kinoma na aliyetengeneza Beat big up sana!!! When I pulled up na Ma snitch inakuwa NGESE.
Beat katengeneza slimsal ambaye nayeye ni underrated rapper hapa tz.
Jamaa katengenenza mabeat mazuri s2kizzy anamuibia na switch records
Beat alizoibiwa ni kama
1.Swagiree weusi
2.vmoney mpaka pumzi ya mwisho
 
Back
Top Bottom