Uchaguzi 2020 Kwanini GENTAMYCINE 'nitamchagua' haraka sana Mgombea 'Urais' wa CCM Dkt. Magufuli hiyo 28, Oktoba 2020?

Siku zote Mti mzuri na unaotoa Matunda ( hasa Maembe ) mengi ndiyo huwa unapigwa sana Mawe.
Uzuri wa watanzania wakishaamua jambo lao likawapendeza moyoni huwezi wabadilisha hata uongee vipi.
Hili la vitambulisho vya mmachinga jaribu tuu kupita mtaani uwaambie wafanyabiashara usikie majibu yao😁😁 wanakuambia Magufuli ametupa amani ya roho tunafanya biashara popote ifike tarehe 28 tukampe tena....
 
Labda mmachinga wa nyumbani kwako. Ingekuwa ivyo huyo mgombea wenu asingesema vitambulisho si lazima
 
Umeshachelewa mkuu sisi tumeshaamua kufanya jambo letu muhimu tarehe 28 🀣🀣🀣
 
Kura yako moja hai haribu kitu, kingine kuna watu ni wanafiki kupitiliza mtu anampa promo mgombea wa CCM na wakati kuanzia uhuru hakuna chama cha upinzani kilichowahi kuongoa nchi , unakuta watu wanachotwa akili na propaganda uchwara.

CCM ikubali tu kuachia nchi siku za karibuni , kwa miaka yote 59 imebaki kupiga kampeni za maji, elimu, afya hatujifunzi hata kwa nchi nyenginezo Afrika.
 
Una sound kama very selfish man...yaan jitu flan binafsi sana
 
Kura zetu nyingi ni kwa John Pombe Magufuli sio kura moja ya GENTAMYCINE peke yake😁😁
 
Ila ni mwizi,/double standard, muongo na mzee wa visasi.

Na atuamnie kuwa Ben saanane yuko wapi?
 
Hali ya kina Lord denning kuanzia tarehe 28
View attachment 1606902
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uzuri hivyo ndo watanzania watawafanya Ccm muwe baada ya Oktoba 28. Uzuri umeweka clip sahihi kuonesha ni kwa jinsi gani mmewasononesha wafanyakazi kwa miaka yote hii 5.
Jiandaeni tu kumkabidhi ikulu mpakwa mafuta wa Mungu, Tundu Antiphas Lissu
 
Uzuri hivyo ndo watanzania watawafanya Ccm muwe baada ya Oktoba 28. Uzuri umeweka clip sahihi kuonesha ni kwa jinsi gani mmewasononesha wafanyakazi kwa miaka yote hii 5.
Jiandaeni tu kumkabidhi ikulu mpakwa mafuta wa Mungu, Tundu Antiphas Lissu
Hiyo ni kabla ya kuongea na jembe John Pombe Magufuli. Tundu anasubiri sana hata zile kazi ndogo ndogo hapati
 
mambo yao yalikua hivyo sasa yako sorted. Kura zote kwa John Pombe Magufuli
Kwanza akishatangazwa tu . atafukuza time yote ya uchaguzi, walishindwa kumzuia lisu. Na Jokate atakuwa waziri
 
Kwenye Tundu weka Magufuli
Asubutuuuuu.
Chama miaka 28 na nusu kinapokea ruzuku ila hata maendeleo ya chama wala wanachama hakina!!! Hakina payroll ya viongozi wa matawi wala office za chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…