Uchaguzi 2020 Kwanini GENTAMYCINE 'nitamchagua' haraka sana Mgombea 'Urais' wa CCM Dkt. Magufuli hiyo 28, Oktoba 2020?

Umepiga gia angani, ulidai hutapiga kura hadi iwepo Tume huru

Kwahiyo unaenda kupiga Kura , kwa Tume hii hii?

Hii hii na utaona madhara ya kutokuwa na tume huru. Tukiiomba kwa amani mnatuona mafala, ngoja tuonyeshe madhara ya kuendelea na tume isiyo huru.
 
Huyu 'Mgombea' wako uliyemtaja hapa nimesikia za chini chini kuwa anaweza 'Kujitoa' katika lala salama hii hivyo labda 'ukamchague' Lipumba.
Popoma at work , mnalipwaga sh. Ngร pi? Kuandika ujinga.
 
Asubutuuuuu.
Chama miaka 28 na nusu kinapokea ruzuku ila hata maendeleo ya chama wala wanachama hakina!!! Hakina payroll ya viongozi wa matawi wala office za chama
Kwani Tanu walipokuwa wanapambana na serikali ya mkoloni walikuwa na ofisi au payroll pamoja na kuchangiwa sana na wafanyabiashara wa kipindi hiko kina Sykes???
 
Kwani Tanu walipokuwa wanapambana na serikali ya mkoloni walikuwa na ofisi au payroll pamoja na kuchangiwa sana na wafanyabiashara wa kipindi hiko kina Sykes???

Tanu walipambana na mkoloni miaka 28 na nusu !???? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Tanu walikua na ruzuku???

Tanu walipigania kuwatetea wazungu kubeba rasilimali zetu na kuweka madini yetu rehani ili tupate pesa ZA kuendesha nchi???

Tanu walichangiwa na wafanya biashara nyie mnazochangiwaga na wafanya biashara mnapeleka wapi??

Maendeleo tunayoyataka yanatekelezwa na Dr John Pombe Magufuli na 28.10.2020 yeye anatosha
 
Kwa iyo Nani anampigania mzungu kubeba rasilimali??? Mlivyomshtaki Tundu Lissu akipambana na nyie kuhusu migodi ya Bulyanhulu na Nyamongo alikuwa anampigania mzungu gani ?????

Unauliza Tanu walikuwa na Ruzuku alafu unakiri Tanu walichangiwa na wafanyabiashara sasa wewe akili yako iko sawa kweli????

Jibu swali ukiloulizwa Tanu walijenga ofisi gani kwa fedha walizokuwa wanachangiwa na wafanyabiashara???
 
Your browser is not able to display this video.

28.10 utaelewa sana
 
Magufuli hataki kura yako mnafiki mkubwa wewe.
 
Nafikiri iyo clip ya Mwalimu Nyerere ni vizuri ukajiwekea wewe na ikakusaidia kujitafakari zaidi. Maana anayosema ndo hivyo ulivyo
utajielewa asubuhi ya tarehe 29 mwezi huu huu
 
Wapenda maendeleo wote 0ctober 28th watakuwa na kazi ndogo tuu ni kuweka tick kwenye kibox cha mtu wa kwanza kabisa naye si mwingine ni JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Sababu wewe ni popoma tu, hamna sababu nyengine
 
Kura zetu nyingi ni kwa John Pombe Magufuli sio kura moja ya GENTAMYCINE peke yake๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Hiyo ni haki yako kikatiba kupiga kura ila jifunze kuto generalize mambo, kura zenu na nani? Wewe na familia yako? Au wewe na gentamycine?
 
Mimi na watanzania wenzangu ikiwa familia yangu na rafiki zangu na majirani zangu kina GENTAMYCINE na wengine wote

KUNA SEHEMU NIMEKUTAJA WEWE???
Rudia kusoma ulichoandika hapo [emoji115],,,,, ili nijue kama kweli hauna iq ya sisimizi.
Yaaani uandishi wenyewe shida [emoji53].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ