Wakati wowote baada ya kila mmoja kuona mwenzake anamfaa na kukubaliana hivyo!Na sidhani kama kipimo kiko gesti!hivi ni wakati gani mwanamume/mwanamke anaamua kwamba
haya ni mahusiano thabiti? manake nina wasiwasi na idadi itakayobidi
ipelekwe home kabla mtu hajaamua "huu ni uhusiano thabiti"
whatever....lol
Wow! :clap2:
hivi LD wewe unaweza kumkataa unaempenda kwa sababu ya kukupeleka gesti za uswahilini? , jibu lako lizingatie na mapigo yangu ya moyo please.Ha ha ha ha! Nilikuwa nimejitune kusoma post zote hadi mwisho kabla sijasema chochote, lakini mkuu umenichekesha. Mumgu akulipe nini? Mshahara wa dhambi ni mauti. Sasa kwani huyo wa hivo anakuwa mkeo?
Wakuu nimechoka kusoma hizi post zote. Lakini naombeni kuuliza swali, Hivi guest mtu anapelekwa au Mnakwenda guest. I mean ni Mtu A anampeleka mtu B guest au watu A na B wanaamua kwenda guest.
Wakati wowote baada ya kila mmoja kuona mwenzake anamfaa na kukubaliana hivyo!Na sidhani kama kipimo kiko gesti!
Na sisi tunaomalizana kwenye vichaka na majumba mabovu unatuweka kwenye kundi gani!
Gesti ni kumuheshmu,enzi zetu kulikua hamna ii kitu,tulikua 2kitaka kutana mwanamke anakuja na kanga twamaliza,au unamshkisha ukuta.ila sasa mnapelekwa na gesti bado mwaona mwadharauliwa?lizzy tuwe tunapongezana co ku2ponda, tena hata hela hua hamlipi nyie ingawa RAHA twapata wote. Amaizng! Nadhani inabdi turudie enzi za mwl!
Na sisi tunaomalizana kwenye vichaka na majumba mabovu unatuweka kwenye kundi gani!
Orait orait!Siku nikipelekwa ntalipa mimi basi!
Hasara wakati raha tunapata wote bwana!Acha niwe muungwana!
Jamani sio wote!Wengine tumezoea kusaidiana!
Hapa labda niulize tunazungumzia "guest houses" zile za Uchochoroni - similar to some Cheap Motels au kumpeleka mtu kwenye Hoteli ya kiukweli. Maana wengine kutokana na uduni wa makazi yao wanaona yule mdada hastahili kuingia kule kwetu Uswahilini hivyo ni bora aende wakajirushe Zanzibar au Morogoro au Arusha kwenye mojawapo ya Mahoteli fulani.. Hili la nadhani itakuwa ni kuwa amekuheshimu sana..
Tatizo liko kwenye vile vya chap chap ambapo mtu anajua kabisa kuwa haka ni kaswali ka mlo wa jioni na hana mpango wa kuendelea zaidi kwa hiyo anaona kuleta nyumbani inaweza kuleta ugomvi na mtu fulani ambaye aidha ana mpango naye au yuko naye serious.. Ila, pia kwanini hao kina dada wanakubali kwenda Guest? Mimi nadhani msichana anayekubali kwenda guest na kijana wake anakuwa amekubali masharti yake....
Lakini, kama wengine walivyodokeza, wengine wanaheshimu vizuri tu huyo mwenzake lakini kutokana na "logistical challenges" na labda "security issues" inabidi wakutane mazingira fulani mbali na nyumbani ila mambo ya kiiva vizuri basi anaweza kumleta nyumbani. Hii zaidini kwa wale ambao hawako huru hivyo katika nyumba au vyumba vyao.