Kwanini Haji Manara anatangaza maji ya Uhai ya Azam badala ya maji ya Masafi ya Mo?

Kwanini Haji Manara anatangaza maji ya Uhai ya Azam badala ya maji ya Masafi ya Mo?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kuna kitu kinaitwa "conflict of interest"

Je, inaswihi kwa Haji ambae Boss wake Mo ana biashara ya Maji na wakati huohuo Haji kwenda kutangaza biashara ya Maji kwa Azam? Mo ana maji ya masafi na Azam ana maji ya Uhai. Mo ana timu ya Simba na Azam ana timu ya Azam.

Hii imekaaje kikanuni?
 
Kwani Haji ana mkataba na Mo au na Simba?
Haya tujuze wenzio kama Kuna conflict of interest au hakuna ili tuelimike sote. Ni wapi bakheresa, Uhai, Azam FC, mo, Masafi, Simba SC wanakutana au hawakutani na Haji Manara kwenye kazi zake kama msemaji wa Simba na muuzaji wa maji ya Uhai.
 
Kwa maisha ya Manara unavyoyaona unadhani 700000 kama mshahara inamtosha?

Wacha apige hela mzee unataka azeeke kama Mzee Mpili kuongelea uchawi uchawi tu wa kumaliza mechi nje ya uwanja[emoji16]
 
Nike wana mkataba wa kutengeneza jezi na barcelona lakini lionel messi ana mkataba binafsi na adidas kama nitakuwa sahihi.

1627137710853.png
 
Nike wana mkataba wa kutengeneza jezi na barcelona lakini lionel messi ana mkataba binafsi na adidas kama nitakuwa sahihi.
Lakini Nike na Adidas wahamiliki timu zao. Unaonaje kama Adidas wangekuwa wana timu Yao halafu Barcelona ikawa na mechi na timu ya adidas na Messi akiwa mchezaji wa Barca. Hapa Mo ana timu na Azam ana timu na zote ziko kwenye ligi moja.
 
Kwani maji ya Mo yana mkataba na Simba, anachokosea Haji Manara ni kushindwa kutofautisha ajira yake na mikataba yake binafsi. Bakhresa na Gsm wanatamani kutangaza bidhaa zao kupitia washabiki wa Simba lakini wanajua itakuwa vigumu kupata hiyo nafasi

Bakhresa sababu mwekezaji wa Simba ana bidhaa shindani dhidi yake wakati Gsm anajulikana ni mshabiki na mfadhili wa yanga walichofanya ni kumtumia Haji ama kwa kujua au bila kujijua.

Mfano halisi ni siku Simba wanapokea kombe baada ya mechi na Namungo badala ya Haji kuizungumuzia Simba anaanza kupromot bidhaa za Azam.

Haji akifukuzwa au kujitoa Simba dili zote zitakufa maana walengwa watakuwa hawapatikani na ndio maana alikuwa na kiburi cha kukataa kusaini mkataba wa mshahara wa milioni 4akijua fika atakosa malupulupu mengine.

Kipindi kile anapelekwe Spain wakati kaajiliwa alichukua likizo au alikuwa akitumikia mabwana wawiwi.
 
Aongezewe mshahara basi ili aache kuganga njaa! Laki 7 kwa maisha ya Dar haitoshi! Ni lazima ajiongeze. Kinyume na hapo, itamlazimu kurejea kwenye ile kazi yake ya awali ya wizi na utapeli.
 
Kwani maji ya Mo yana mkataba na Simba, anachokosea Haji Manara ni kushindwa kutofautisha ajira yake na mikataba yake binafsi. Bakhresa na Gsm wanatamani kutangaza bidhaa zao kupitia washabiki wa Simba lakini wanajua itakuwa vigumu kupata hiyo nafasi

Bakhresa sababu mwekezaji wa Simba ana bidhaa shindani dhidi yake wakati Gsm anajulikana ni mshabiki na mfadhili wa yanga walichofanya ni kumtumia Haji ama kwa kujua au bila kujijua.

Mfano halisi ni siku Simba wanapokea kombe baada ya mechi na Namungo badala ya Haji kuizungumuzia Simba anaanza kupromot bidhaa za Azam.

Haji akifukuzwa au kujitoa Simba dili zote zitakufa maana walengwa watakuwa hawapatikani na ndio maana alikuwa na kiburi cha kukataa kusaini mkataba wa mshahara wa milioni 4akijua fika atakosa malupulupu mengine.

Kipindi kile anapelekwe Spain wakati kaajiliwa alichukua likizo au alikuwa akitumikia mabwana wawiwi.

Kitu ambacho wengi hawajui ni kwamba Haji katumia platform ya simba kutengeneza jina na anatumia brand ya simba kwa mgongo wa nyuma kutangaza bidhaa za Azam na GSM,.

Ndio maana mara nyingi huwa anapenda kuweka habari za simba kwenye page yake (kwa kigezo cha ofisa habari wa simba), lakini page hiyo hiyo anaitumia kutangaza hizo bidhaa ambazo simba hawana interest nazo!......

Haji akiondoka simba hatakua na nguvu ile ile ya ushawishi aliyonayo sasa, maana mbeleko itakua imeondolewa, na ni obvious hata thamani ya mikataba yake na hao jamaa itabadilika
 
Kuna kitu kinaitwa "conflict of interest"

Je, inaswihi kwa Haji ambae Boss wake mo ana biashara ya Maji na wakati huohuo Haji kwenda kutangaza biashara ya Maji kwa Azam? mo ana maji ya masafi na Azam ana maji ya Uhai. Mo ana timu ya Simba na Azam ana timu ya Azam.

Hii imekaaje kikanuni?
Kipaumbele kwasasa ni mechi ya kesho.. Mkakati ni kumuandhibu UTO FC..kwa kumdunga magoli ya aibu
 
Back
Top Bottom