Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

Uwepo wa Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, aliyeumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, ni logical contradiction.

Ni kama vile mtu aseme kuna pembetatu ambayo hapohapo ni duara katika Euclidean plane geometry.
Point me that CONTRADICTION.
 
We nawe manabii wako hapa Tanzania huwaoni? Au unajitia upofu
 
We ndugu yangu toka nje acha kujifungia ndani.Kaa na watu weka mawazo yako mbele ya watu watakusaidia.

Una hoja za ajabu ajabu ambazo nadhani mtu yeyote mwenye Weledi anaweza kukusaidia kutoka katika hilo kufuli lililokufunga.

Trust me una shida.
 
Naomba basi unitajie mavazi ya kidini unayoyajua
KILA Jamii Ina mavazi yake ambayo kwa Jamii nyingine uoneka ipo uchi.
Mfano wapo wahindi uacha tumbo wazi wanawake, Wazulu,tswana,swati,dinka nk wao uacha kifua wazi kwao sio big deal, wazungu mapaja wazi kifua wazi kwao ni uchi.
 
We ndugu yangu toka nje acha kujifungia ndani.Kaa na watu weka mawazo yako mbele ya watu watakusaidia.

Una hoja za ajabu ajabu ambazo nadhani mtu yeyote mwenye Weledi anaweza kukusaidia kutoka katika hilo kufuli lililokufunga.

Trust me una shida.

Sawa.. Asante kwa ushauri.. ila kabla haujamwambia mtu ana shida tizama vizuri maisha yako.. alaf uwe unafikiriaga la sivyo utaburizwa sana
 

Shukrani sana MKUU... ubarikiwe kwa hii imekaa vizuri sana
 
Yesu alizaliwa Palestina sio Israel,Yerusaremu iko palestina,
Mkuu, Yesu hakuzaliwa Yerusalem, alizaliwa Bethrehem ya Uyahudi; halafu kuhusu Yerusalem kua ipo Israel au Palestine, kwani Palestine ni wapi na Israel ni wapi? Unajua kwamba Yerusalem pia unaitwa mji wa Daudi? Huyu mwamba ndio aliyeufanya kua makao makuu ya utawala wake, Daudi ni Muisrael kutoka kabila la Yuda ambalo pia ndio alilotokea Yesu
 
Zamani watu hawakutambuliwa kwao bara Wala rangi bali kabila na ukoo wake!!hakukua na neno africa bali kulikuwa na watu wa rangi mbali mbali wamechanganyikana sehemu mbali mbali duniani!!manabii weusi walikuwepo kama suleiman mfalme na tahiti Kasome wimbo uliobora sura 1:5 anasema yeye ni mweusi mweusi lakini ni mzuri!!hata nabii ayubu analalamika kwa kusema ngozi yake ni nyeusi nayo inamtoka!!ni Baada ya kuugua sana hadi ngozi ikaopoteza rangi ya weusi wake na kutoa madoa mekundu kama albino!!hata yakobo alikua na ngozi ya mng'ao sana na hakuna mwenye ngozi ya mng'ao zaidi ya mtu mweusi!!!Pia waebrania walifanana na Wana wa ham kama wamisri wa kale walivowaona na kuwaelezea jinsi waebrania walivyo LAKINI Ham maana yake ni ngozi iliyoungua na jua ambayo ni nyeusi na ndio waebrania wengi wa Kale walivokuwa weusi!!na ndio maana mfalme wa zamani wa misri alikataa kutambua Taifa la Israel kama takatifu alisema imekuwaje waisrael wamekua weupe wakati wnaondoka utumwani misri walikua weusi wakiongozwa na Musa??jamaa alikataa katakata kutambua waisrael weupe kama Taifa takatifu hata wataalamu wa vinasaba walipopima DNA za hao jamaa wanaojiita waisrael walikuta Wana damu za waturuki,wajurumani,waingereza na waarabu Hakuna damu ya waisrael kwao!!inasemekana jamii kubwa ya waisrael ni ya weusi wengi ambao bado ni watumwa hadi leo!!!inawezekana mtoa mada ukawa ni mwisrael au mwebrania pasipo kujijua!!!hata yesu alikua mweusi sema wazungu walijiona inferior wakatuletea yesu mweupe!! Kumbuka yesu ni mwebrania na ngozi yake ina fanana na Wana wa hamu ambao no wakanaani wenye ngozi iliyoungua nyeusi!!!!kifupi Kuna uongo mwingi Sana uliojoficha kwenye dini zetu hizi!!!!
 
Aisee we jamaa ni muongo sana.Suala la watu kuvaa kanzu au buibui au hijab ilikuwa ni kutokana na utamaduni wao na wala sio suala la kidini.Na utamaduni wenyewe umekuwa shaped na hali ya mazingira.Kwa hiyo kwa kigezo cha mavazi usidanganye watu.

Kuhusu ukristu kupotoshwa inabidi utuambie unatumia document ipi ambayo inaaminika na dunia nzima ambayo inaeleza ni namna gani Ukristu umepotoshwa.Muongozo wa Kikristu ni Biblia na Biblia unayoiona leo hii kila kitabu kilichoandikwa mule original yake ambayo ni document ya kwanza kuandikwa ipo na imehifadhiwa na haina tofauti na hii tunayoisoma leo.Kwa hili pia usipotoshe umma.

Unafahamu kuwa mtume hakuiweka Quran kwenye maandishi?Unafahamu kuwa sehemu kubwa ya Quran imeandikwa baada ya mtume kufa?Unafahamu kuwa kuna version za Quran zilichomwa moto ili kuepuka mikanganyiko?Sasa tutaamini vipi kama haya yaliyobaki na kuyasoma leo ndio yako sahihi?

Lengo langu sio kushindana kuhusu dini ila najaribu kuweka sawa kuwa huwezi kutumia Quran kuonyesha mapungufu ya Ukristu sana sana tunaweza kutumia Biblia kuprove kuwa yaliyomo kwenye Quran yana mapungufu makubwa sana ambayo hayathibitishwi na history,Logic wala Science.
 
kwa hiyo unataka kunithibitishia kwamba leo hii ukaambiwa Yesu kaludi yuko uwanja wa Taifa,kwa picha yako unategemea utamkuta kavaa suti na tai kama wachungaji wenu?ebu jalibu tu hata kutumia lugha ya picha
 
Kama ujui Yesu sio Mzungu ni mwafrika ndio maana alienda kufichwa Egypt kwa waafrika.kwakuongezea Israel ilikuwa na ataa Leo hiko bara la Africa .umeona wapi bara likatenganishwa na mpaka .Misri ni afrika inaiachaje Israel jirani yake !?
Safi sana! Hata Yesu alipokimbiziwa ukimbizini walitembea tu km wanaenda sokoni ! na walipofika ukimbizini huko hawakuwashangaa! ni kama walikuwa wenyeji wa palepale tu!!

ni sawa na Mkenya wa kule Isbania! huyo akikimbila Tarime km mkimbizi itawachukua muda sana kujua km siyo mwenzao, tena saaana atamke mwenyewe!! na

wakurya wa Tarime wengi wanenda na kurudi kenya na Bongo, ni km kwao kotekote! wanasoma kotekote wanapo ona panafaa! pia wasotho na s/africa mwee!! hkn tofauti! ndo ivo pia na upende wa Yesu!

wazungu no zao la shetani wanatimiza agenda za shetani!! zawadi pekee aliyowapa wazungu ni kutawala Dunia kwa mda!! ila wana mwisho!! wana damu(DNA) ya Neandethal na kiafrica, na Heandethal ndiyo Nephilim waliotajwa kwa Biblia!

hawakwepi watake wasitake!!...... Mkuu wa ulimwengu amewamegea ukuu! WAAFRICA walimkana Mungu! na waliambiwa na Mungu mtaabudu msicho kijua km mtaniasi!!.....na mtarudishwa Africa kwa mitumbwi hamtarudi tena hapa kamwe! na ni kweli africans wengi hata hawajui asili yao ni wapi!
 
Kwani maandiko hayako wazi .. kama yesu akirudi atafikia nchi/mji gani? na hii inaweza ikaonyesha asili yake.. WAKUU naombeni kama kuna ufunuo wowote
 
kwa hiyo unataka kunithibitishia kwamba leo hii ukaambiwa Yesu kaludi yuko uwanja wa Taifa,kwa picha yako unategemea utamkuta kavaa suti na tai kama wachungaji wenu?ebu jalibu tu hata kutumia lugha ya picha
Kwani cha ajabu ni nini?kuvaa suti na tai?
 
Nahisi topic hii watu waliisusa tu bila kupata majibu yakuridhisha
 

Kwanza kabisa inabidi ujue Ezekieli hakuwa muisrael kama ulivyoaminishwa?

Nabii Ezekieli ni mtoto wa ndungu yake na ibrahimu aliekuwa anaitwa Nahori alizaa na milka mtoto alieitwa buzi

uyu buzi ndiye aliyekuja kuwa baba wa Ezekieli soma Ezekieli 1;3

Na unapokataa muisraeli sio mweusi sijui nikuelewaje? yakobo alizaa watoto 12 kwa wanawake wanne, na kati ya hao wawili ambao ni bilha na zilpa walikuwa ni mabinti weusi tiii kutoka misri;

uyo musa ambae anatoka kabila la lawi alikuwa na watoto weusi aliozaa na spora binti wa kikushi soma hesabu 12;1

Suleimani pia alizaa watoto wengi sana na binti za kiafrika kama meneleki aliyezaa na malikia wa sheba,

kwaiyo unapoongelea israel unaongea taifa ambalo ni mchanganyiko wa rangi weusi na waarabu,

na unaposema samweli hakuwa nabii [emoji15][emoji15][emoji15] inaonesha wewe hujui chochote kuhusu ukristo
 
Wapo, mwanamalundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…