Hii madaa nilikuwa naipotezea sana kuisoma,kumbe nimeona na mimi ninamchango wangu wa kuchangia kwa mleta madaa,Kwanza ningekushauli huko uliko ukitaka kuzijua Dini kiukweli soma vitabu vya hadithi,masimulizi yanayohusu Dini hasa Ukristo na Uisilamu
Hizi Dini nyingi zimepotoshwa historia zake kwa makusudi na watu ili kulinda tawala za watu furani,mfano Ukristo umepotoshwa pakubwa sana baada ya kuingia Ulaya,huu unaouoni sasa hivi sio ukristo wenyewe kuanzia kuabudu,utamaduni pamoja na kila kitu,Ukristo haukutofautiana na Uisilamu wa leo unaouona ndiyo maana Yesu alivaa kanzu,alitawadha alisujudu na aliswali msikitini,na mitume wake ya watu sio wa na Majeneza,walizikwa na sanda tu kama Waisilamu,na makaburi yao hayakujengewa wala kuwekewa misalaba sana Juma ni dhambi kwa mwenyezi Mungu
Ukija kwa mama yake na Yesu Bikira Malia alivaa baibui,akavaa hijabu yaani alijistiri kama unavyoona Uisilamu na anaposwali alitawadha na hakuwahubiria wanaume wala kuimba alikaa mbali na alipokufa hakuzikwa na jeneza,inamana hiyo familia ikija Leo itaungana na Waisilamu na wataswali msikitini sio kanisani tena,sasa nataka kuja kwenye swala la mitume,Quruani inaeleza vizuri kabisa,kumekuwepo na Mitume laki tatu na sitini,kama sijakosei,katika hao mitume wengi ni kabila la Israel, mpaka mitume wa Mwisho ambaye alikuwa Mwarabu ambaye ni Mtume Muhamada (S.A.W)lakini walikuwepo wacha Mungu na Wafalme waafrika kama wa Habashi ambayo leo hii ni Ethiopia ambao Kwa wema wao na Hekima zao hata Mungu aliwakubali. Na hawa unaowaona Leo wanajiita Mitume,ni matapeli pazia la mitume lilishafungwa hamna mitume hapo,ila ni upigaji wa sadaka tu,sabau sifa ya Mitume hawana na hawaiwezi ni pamoja na mitihani majaribu na Maisha Magumu yaliyopitiliza