Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

Inabidi ukasome kwanza,utumwa Hadi Leo upo utumwa wa fikra Kama wako wewe Kama waarabu ndio waliongoza kwa kuchukuwa watumwa weusi wapi Kuna watu weusi wengi Kati ya arabuni na kwa wazungu?pili kwenda Makka kuhiji hakujaanzishwa na waarabu watalawa saudia na Wala haulipii kuhiji kinacholipwa ni safari ya kuhiji na wanufaika ni makampuni ya kusafirisha mahujaji sidhani Kama mtu mwenye akili timamu anaweza fikiria kuwa hija iliyonzishwa kwa lengo la kunufaisha nchi ya saudia nchi ambayo imeanzishwa miaka ya 1900 wakati ibada ya hija Ina miaka kibao
Chuki zako zidi ya dini usichanganye na chuki za waarabu dini ni Iman kila mtu anarukhsa ya kuamini hakuna aliyeshikiwa bakora na uzuri vitabu vipo na akili zipo ni kuamua kipi ufate
 
Kuna sehem gani ktk uslamu mtu analazimishwa kuvaa mavazi ya kiarabu?niambie hapa
 
Kama kufata tamaduni za wazungu kuvaa suti na vimini ikiaminika ndio dini yenyewe hali ya kuwa yesu hakuvaa suti na Hili unalionaje.kufata dini zilizoanzishwa ulaya Kama vaticana Roman,England anglicana,german ruthelani haliyakuwa hizo nchi yesu hakuwah kufika Wala hakuna mwanafunzi wa yesu aliyewah kufika na kuchukua tamaduni zao na kuleta Africa kwa kutumia wamisisionary na kuwapa mikataba feki machief ili watawale unalionaje hili?kuaminisha watu kuwa wazungu ndio wanaakili na yeah alikuwa mzungu?au dini kumilikiwa na Taifa flani unalionaje?
 
Imekuuma ee ewe Mquraish mweusi,eti nakashifu Dini Dini Dini Gani yakuikashifu Tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnakumbilia kukashfiwa mna matatizo sana nyie watu,
Kwani uongo ya Kwamba mnafuata tamaduni za Waarabu na Wayahudi wa kale?
Mpo brain washed sana nyie Wafuata mikumbo wa Dini za kuja!
😁😁😁😁πŸ”₯
 
alikuambia kuvaa suti ni kufuata utamaduni wa watu ni nani?
Kwani wabudha na Washinto wa china na japan hawazivai,na mbona hawajaacha tamaduni zao za asili
Hahahahahah!
 

Kwa Navyojua Mimi Ukristo Ulianza Afrika Ukaenda Uraya,

Sasa Huu Unaoongelea Wewe Ni Upagani Ulioanzishwa Na Vatican Kwa Kujificha Kwenye Vazi La Ukristo
 
Swali la kifara sana
Siyo swali la kifala, the fact is, hakukuwa na documentation yo yote kwetu Afrika kwa hivyo hakuna uhakika. Wenzetu kuanzia uhabeshi (Ethiopia) mpaka Uarabuni wamekuwa na herufi zao za kuandika na wameweza kuweka historia yao kwa maandishi.
 
Kwani na nyinyi si munanunua masuti na misalaba, sasa hapo kero la nini? Au wangapi siku hizi wanavaa ile migolole ya asili?

Munajifanya wazungu na pia mumeanza kuiga hao munaowasema kwa kwenda kuhiji Jerusalem
 
Na wewe unafuata dini gani? Mbona hukubaki kule kwa Watindiga ukaendelea na utamaduni wako wa kiafrika? Umekwenda shule aliyokuletea mzungu pamoja na dini ya kikristo. Kuwa brainwashed iko kwa wote usijitoe kabisa.
 
Na wewe unafuata dini gani? Mbona hukubaki kule kwa Watindiga ukaendelea na utamaduni wako wa kiafrika? Umekwenda shule aliyokuletea mzungu pamoja na dini ya kikristo. Kuwa brainwashed iko kwa wote usijitoe kabisa.
una uhakika ya Kwamba nafuata dini za kuja kama Wewe?
Kuhusu elimu hilo Sio swala la tamaduni za watu sababu ni mfumo upo Dunia nzima ila kuhusu Dini hapana Yaani wakuletee Mpaka dini zao,mbona kule china na japan hawafuati dini zao ila elimu tu ndio wamefuata kitu ambacho ni Cha lazima Ili kuendana na mfumo wa Dunia ya tatu!
 
tatizo ni nyie kujipendekeza kwa manabii wa wenzenu! wazungu na waarabu! ila wale wenu mliwaita waganga wa kienyeji!!! hamtunzi makaburi yao!! hamtaki kuwasikia mnawaita wafuasi wa shetani ....

basi shetani ana cheeeka mpaka basi.....anajamba na mkewe huko! japani. korea, china walikataa huo ujinga wa yesu mzungu angalia walipo!...nyie eti mpaka leo mnawafuata km kondoo!!

kwanza yesu mzungu haji, wla kumsikia mtasubiri sana!! akija yule wa kweli hamta mwamini, mtamuona muhuni tu amefoji taa za umeme! hayaa tukawaambia mjifunze kusoma wkt ni huu!!!...oooh! mchonga nae!
 
Ajabu sasa na kichekesho cha karne kitacho kuacha domo wazi na kufanya uyambe kifukuto ni kuwa mbali na mwafrica yaani hakuna Nabii Muhindi, wala hakuna Nabii Mchina! Wadhungu tuuuu! na watoto wao waarabu!

tena basi bora china kureee ni mbali ,, jamani hapo middle east huyo yesu wao alishindwaje kututambua sisi na wingi wetu hivi? na kututumikisha hivi?? au huyo alifanya biashara ya utumwa pia?

Halafu waaafrica bana vatican, misikiti iliuza babu zao sana lkn wanavoifia hiyo dini pwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hayajiulizi
 
Huyo papa Pedro alichaguliwa kiuhalisia? Moshi mweupe ulitoka na ukapaa Moja kwa Moja Mbinguni? Na kama ndivyo basi sio mwafrika halisi! Labda tuangalie mwafrika ni nani? Ni rangi au nywele ngumu? Kwangu mtu asili kutoka Sudani, (sio wahamiaji) ni mwafrika halisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha bibie you made my day, umegonga mule mule hizi dini za kuja zinawafanya waafrika wengi kua watumwa wa fikra mtu anashindwa hata kutumia akili ya kawaida kusoma between the lines,mbona kwangu naona za mchongo tu hata hazina uhalisia zimejaa hekaya za kijuha na kitoto sana Kuna nyingine zinasema et punda aliongea,nyingine et ukifa unapata adhabu ya kaburi Kwa kungatwa na nge na wadudu mbali mbali,wengine ukifa unaenda peponi kutwaa mabikra 70 na kuogelea Kwenye mito ya pombe,yaani ujinga mtupu ila still Zina wafuasi
What a joke!
😁😁😁😁πŸ”₯
 
Yohana, Luka, Amosi, matendo, mathayo daudi, esta, yesu, yakobo,yuda Maria, yusufu, abeli, Musa, hayo majina yote yana asili ya kibantu kijana jiongeze wewe
Hayo majina sio ya kibantu ila walikua wa BANTU , Waka badirishwa majina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…