Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
Inabidi ukasome kwanza,utumwa Hadi Leo upo utumwa wa fikra Kama wako wewe Kama waarabu ndio waliongoza kwa kuchukuwa watumwa weusi wapi Kuna watu weusi wengi Kati ya arabuni na kwa wazungu?pili kwenda Makka kuhiji hakujaanzishwa na waarabu watalawa saudia na Wala haulipii kuhiji kinacholipwa ni safari ya kuhiji na wanufaika ni makampuni ya kusafirisha mahujaji sidhani Kama mtu mwenye akili timamu anaweza fikiria kuwa hija iliyonzishwa kwa lengo la kunufaisha nchi ya saudia nchi ambayo imeanzishwa miaka ya 1900 wakati ibada ya hija Ina miaka kibaoManufaa ya kwanza ni kusambaza utamaduni wao wa kiarabu Kwa wamatumbi,
Pili iliwasaidia kwenye biashara zao tunajua wale Mabwana walileta dini Ili kuhodhi biashara ukanda huu Kwa Karne nyingi Cha kusikitisha zaidi walifanya mpaka biashara za watumwa yaani watu wanaojinasibu ni wa Mungu wanawakamata wenyeji na kuwasafirisha Hadi Nchi za kwao kwenda kua watumwa,
Tatu walileta dini Ili kuteka maeneo hii tunaita ku conquer tunaona waliweka base zao katika maeneo mengi ya afrika na kuanzisha tawala zao,
Pia mpaka Leo wananufaika Kwa kuwapiga Hela wajinga wa kimatumbi wanapoenda kuhiji makka wanawaingizia mapesa ya kutosha unaowawezesha kujenga uchumi wao Huko wewe ukiendelea kubaki maskini na ndio maana waarabu wa saudia hawana njaa Kwa kua na vyanzo vya mapato vya uhakika!
Niendelee mdau?
Chuki zako zidi ya dini usichanganye na chuki za waarabu dini ni Iman kila mtu anarukhsa ya kuamini hakuna aliyeshikiwa bakora na uzuri vitabu vipo na akili zipo ni kuamua kipi ufate